Uhai ulianzaje?

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.


Nakupenda sana Biblia.

MJUE SANA MUNGU ILI MOYO WAKO UWE NA AMANI.
 
Naamini uhai ulianzia kwenye maji japo sijui ulianzaje

NB: tunaamini tusivyo vijua, huwezi ukawa unaamini kitu unacho kijua
 
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.


MJUE SANA MUNGU ILI UWE na AMANI.

NAMPEDA SANA YESU
 

Vipi kuna mwisho wa Dunia
 
Fanya kulichimba hilo swala kulingana na imani yako jinsi ilivyo,, coz it seems hata maandiko unaona hayajitoshelezi kuku-shawishi uukubali ukweli.
 

Haya ni mafumbo
 
Dunia yote haiwezi kuishia?
Marko 9:1 "akawaambia, amin nawaambia pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapouona ufalme wa Mungu umekuja kwa nguvu(kurudi kwa YESU mara ya pili.) Hapa ni YESU Alikuwa anaongea na wanafunzi wake,, swali ni je kwanini wanafunzi wake wote walikufa kabla hata ahadi yake haijatimia?,, ni nani aliye na uhakika kuwa kuna siku dunia itafika mwisho?
 
Kuna Baadhi ya universal laws bado hatujazijua
 
Uhai haukuanza bali ulihawilishwa.. Uhai ni roho bila roho hakuna uhai na tafsiri ya roho ni nishati, nishati haiumbwi wala haiharikiki/haribiwi bali inaweza tu kuhawilishwa


Roho ni nishati ?!!??😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…