Uhai ulianzaje?

Uhai ulianzaje?

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

Nakupenda sana Biblia.

MJUE SANA MUNGU ILI MOYO WAKO UWE NA AMANI.
 
Naamini uhai ulianzia kwenye maji japo sijui ulianzaje

NB: tunaamini tusivyo vijua, huwezi ukawa unaamini kitu unacho kijua
 
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

MJUE SANA MUNGU ILI UWE na AMANI.

NAMPEDA SANA YESU
 
Kuna maoni mengi juu ya jinsi dunia iliundwa na yako kila mahali. Unaweza kusoma nadharia katika vitabu vya kiada, kutazama maigizo mtandaoni, na kusikiliza mijadala. Kwa nini watu wanashangaa jinsi dunia iliumbwa? Ilikuwa miaka na miaka na miaka kabla hata mmoja wetu kuwepo, kwa nini ni muhimu? Je, inaweza kuwa kwa sababu jibu linaweza kuongoza kwenye jambo muhimu zaidi?

Dunia na ulimwengu vyote vina asili. Zote mbili pia zimetengenezwa nje ya maada. Sheria ya Uhifadhi wa Mambo inasema kwamba vitu haviwezi kuumbwa au kuharibiwa—kwa hivyo ni nini asili ya jambo ambalo lilitumiwa kuunda dunia na ulimwengu unaozunguka? Je, tunatokaje mahali ambapo hapakuwa na kitu na kisha kitu kitambo kidogo baadaye? Biblia ina maelezo.

Vipi kuna mwisho wa Dunia
 
Fanya kulichimba hilo swala kulingana na imani yako jinsi ilivyo,, coz it seems hata maandiko unaona hayajitoshelezi kuku-shawishi uukubali ukweli.
 
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

Nakupenda sana Biblia.

MJUE SANA MUNGU ILI MOYO WAKO UWE NA AMANI.

Haya ni mafumbo
 
Dunia yote haiwezi kuishia?
Marko 9:1 "akawaambia, amin nawaambia pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapouona ufalme wa Mungu umekuja kwa nguvu(kurudi kwa YESU mara ya pili.) Hapa ni YESU Alikuwa anaongea na wanafunzi wake,, swali ni je kwanini wanafunzi wake wote walikufa kabla hata ahadi yake haijatimia?,, ni nani aliye na uhakika kuwa kuna siku dunia itafika mwisho?
 
Kuna Baadhi ya universal laws bado hatujazijua
 
Uhai haukuanza bali ulihawilishwa.. Uhai ni roho bila roho hakuna uhai na tafsiri ya roho ni nishati, nishati haiumbwi wala haiharikiki/haribiwi bali inaweza tu kuhawilishwa

Roho ni nishati ?!!??😏😏
 
Back
Top Bottom