Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Science haina mwisho, ndiomaana tafiti zinafanywa kila siku. Mamajusi wana majibu zaidi kuliko nilionayo mm maana kila siku wanapata observations mpyaIlikuwepo vipi yani sijaelewa yani from no where tu[emoji23]?
Yes. Out of nothing!
Hapo ndipo sayansi inaishia na imani inapoanzia[emoji23]
Safi, kwahiyo Singularity sayansi inatwambia ilianzaje?Science haina mwisho, ndiomaana tafiti zinafanywa kila siku. Mamajusi wana majibu zaidi kuliko nilionayo mm maana kila siku wanapata observations mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu gani ambacho hatujui kuhusu black holes? Singularity ilikuepo kabla ya black holes...Safi, kwahiyo Singularity sayansi inatwambia ilianzaje?
Hatuwezi hata kueleza blackholes kikamilifu unaleta mambo ya singularity
Hatuna hata uhakika wa kinachoendelea chink kabisa ya bahati tuliyonayo zaidi ya miaka milioni kadhaa seuze space ambayo tumeanza kwenda juzi hapa???
Hatujui kinachoendelea ndani yake mkuu hebu uliza maswali magumu basiNi kitu gani ambacho hatujui kuhusu black holes? Singularity ilikuepo kabla ya black holes...
Sent using Jamii Forums mobile app
Black hole ni sehem gravity iko intense kias kwamba matter haiwez escape. Hata mwanga unavutwa na hio gravity! Na kwa nadharia, unaweza kucompress kitu kikawa kama black hole. Ila kwa vitendeo sio rahisi maana kucompress mfn Dunia, iwe black hole itabid ucompress ifike kama size ya kitenesi! Hayo ni machache tu tunayojua kuhusu black holes...Hatujui kinachoendelea ndani yake mkuu hebu uliza maswali magumu basi
Enhee kitu gani kiliform singularity?
Unaona ? Bado hatujui kila kitu kuhusu blackholesBlack hole ni sehem gravity iko intense kias kwamba matter haiwez escape. Hata mwanga unavutwa na hio gravity! Na kwa nadharia, unaweza kucompress kitu kikawa kama black hole. Ila kwa vitendeo sio rahisi maana kucompress mfn Dunia, iwe black hole itabid ucompress ifike kama size ya kitenesi! Hayo ni machache tu tunayojua kuhusu black holes...
Unaona ninachomaanisha?Singularity ilikuepo tu, iliexist kabla hata ya space. Singularity ndio ilicreate space. Mpaka sasa nafkir hatuna uwezo wa kupredict kua Singularity iliform vp.
Kwa sasa tuna ukomo katika kujua hivi vitu though tumepiga hatua kubwa ukilinganisha na binaadamu walioishi zamaniIla tukiweza kuchunguza vzr Singularity ilio katikati ya black holes labda tutapata majibu. Ila kuna changamoto hapo.. nothing escapes the black holes gravity, not even light! Not even radiations! Kuna massive gravity kias cha kusambaratisha solar system yetu yote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha.. kumbe unabisha kwasababu ulitafuta gap la kuleta habari za mungu.Unaona ? Bado hatujui kila kitu kuhusu blackholes
Na vipo viblack hole vidogo vidogo ambavyo hatuwezi kuvielezea ila kwa nqdharia tu
Unaona ninachomaanisha?
Vipo vingi hatuvijui na kwa binafsi yangu hatuwezi kataa kabisa uwepo wa Mungu ikiwa kua magap kibao ya knowledge hatujayajaza
Yaani hatujui hata ktk transformation ya Australapithecus kwenda Homo sapiens kuna gap la miaka milioni 2-3 hatujui nini kilitokea
Ninqchokosana na Atheist ni wanawezaje kuelezea magap haya?? Ambayo ni mengi ajabu
Kilq tunapovumbua kitu maswali yanazidi kuwa mengi sas ainawezekanaje kirahisi mtu anadisimiaa uwezekano wa kuwepo kwa nguvu/kitu/mtu aliyetengeneza haya yote???
Kwa sasa tuna ukomo katika kujua hivi vitu though tumepiga hatua kubwa ukilinganisha na binaadamu walioishi zamani
Unajua tatizo linakuja kwenye msururu wa maswaliAnha.. kumbe unabisha kwasababu ulitafuta gap la kuleta habari za mungu.
Dini ndivo zilivoanza ivoivo. Watu wakikosa majibu ya vitu wanasema "huenda yuko muumbaji". Mfano kuna hawa ndege wa msimu (nafkir ni flamingo) watu walikua wakiamini wanatumwa na mungu kutoka mwezini kila msimu... ila baadae sayansi ilivokua, wakachunguza wakaona kua wana migrate tu! Lol [emoji38]... kwahio sayansi inavozid kuadvance, tunavozid kupata majibu ya vitu tusivoweza kudadavua tegemea dini kutoweka kabisa. Zaman kulikua na imani nyingi sana kulinganisha na sasa. Ila zimebak kua "ancient mythology".
Sent using Jamii Forums mobile app
Yea. It makes sense kwamba watu wanaamini kwasababu hawana majibu ya maswali yao.... junsi tunavozid kupata majibu ndivo waamini wanazid kupungua...Unajua tatizo linakuja kwenye msururu wa maswali
Unasema wana migrate
Swali ni kwanini
Kwanini
Kwanini
Kwanini
Kwanini
Mpka inafika hatuq utajua kuwa hii yote ni system ambayo yupo aliyeitengeneza
Kujua tu wanaMigrate haileti sababau
Fikiria in a bigger picture haya mambo yana make sense
Ubaya ni kwamba the more we know the more we are heading to that great questionYea. It makes sense kwamba watu wanaamini kwasababu hawana majibu ya maswali yao.... junsi tunavozid kupata majibu ndivo waamini wanazid kupungua...
Nchi za emirates saiv zinafanya dini kama tamaduni tu na sio imani
The great question I assume unamaanisha ile "where did all this start from"...Ubaya ni kwamba the more we know the more we are heading to that great question
Ewaa swali hilo hiloThe great question I assume unamaanisha ile "where did all this start from"...
Sawa.Jibu kwa both theories litabak lilelile; FROM NOTHING!... God always existed, ivoivo ndio singularity; it was always existing
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo hamna ilianzaje?Ulianza kwenye hamna.
Kha!The great question I assume unamaanisha ile "where did all this start from"...
Jibu kwa both theories litabak lilelile; FROM NOTHING!... God always existed, ivoivo ndio singularity; it was always existing
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo sperm ilianzaje anzaje?Sperm...
Kama nyie mnao amini Mungu yupo mmeshindwa kuthibitisha wao watawezaje?Wanasema Mungu hayupo watupe jibu
Kweli MkuuIlikuwepo vipi yani sijaelewa yani from no where tu😂?
Hapo ndipo sayansi inaishia na imani inapoanzia😂
Tunawathibitishia daily hawataki kuaminiKama nyie mnao amini Mungu yupo mmeshindwa kuthibitisha wao watawezaje?
Mbona mi sijaona uthibitisho?Tunawathibitishia daily hawataki kuamini
UjautafutaMbona mi sijaona uthibitisho?