Uhai ulianzaje?

Uhai ulianzaje?

Science haina mwisho, ndiomaana tafiti zinafanywa kila siku. Mamajusi wana majibu zaidi kuliko nilionayo mm maana kila siku wanapata observations mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi, kwahiyo Singularity sayansi inatwambia ilianzaje?

Hatuwezi hata kueleza blackholes kikamilifu unaleta mambo ya singularity

Hatuna hata uhakika wa kinachoendelea chink kabisa ya bahati tuliyonayo zaidi ya miaka milioni kadhaa seuze space ambayo tumeanza kwenda juzi hapa???
 
Ni kitu gani ambacho hatujui kuhusu black holes? Singularity ilikuepo kabla ya black holes...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujui kinachoendelea ndani yake mkuu hebu uliza maswali magumu basi

Enhee kitu gani kiliform singularity?
Black hole ni sehem gravity iko intense kias kwamba matter haiwez escape. Hata mwanga unavutwa na hio gravity! Na kwa nadharia, unaweza kucompress kitu kikawa kama black hole. Ila kwa vitendeo sio rahisi maana kucompress mfn Dunia, iwe black hole itabid ucompress ifike kama size ya kitenesi! Hayo ni machache tu tunayojua kuhusu black holes...

Singularity ilikuepo tu, iliexist kabla hata ya space. Singularity ndio ilicreate space. Mpaka sasa nafkir hatuna uwezo wa kupredict kua Singularity iliform vp. Ila tukiweza kuchunguza vzr Singularity ilio katikati ya black holes labda tutapata majibu. Ila kuna changamoto hapo.. nothing escapes the black holes gravity, not even light! Not even radiations! Kuna massive gravity kias cha kusambaratisha solar system yetu yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black hole ni sehem gravity iko intense kias kwamba matter haiwez escape. Hata mwanga unavutwa na hio gravity! Na kwa nadharia, unaweza kucompress kitu kikawa kama black hole. Ila kwa vitendeo sio rahisi maana kucompress mfn Dunia, iwe black hole itabid ucompress ifike kama size ya kitenesi! Hayo ni machache tu tunayojua kuhusu black holes...
Unaona ? Bado hatujui kila kitu kuhusu blackholes
Na vipo viblack hole vidogo vidogo ambavyo hatuwezi kuvielezea ila kwa nqdharia tu
Singularity ilikuepo tu, iliexist kabla hata ya space. Singularity ndio ilicreate space. Mpaka sasa nafkir hatuna uwezo wa kupredict kua Singularity iliform vp.
Unaona ninachomaanisha?
Vipo vingi hatuvijui na kwa binafsi yangu hatuwezi kataa kabisa uwepo wa Mungu ikiwa kua magap kibao ya knowledge hatujayajaza

Yaani hatujui hata ktk transformation ya Australapithecus kwenda Homo sapiens kuna gap la miaka milioni 2-3 hatujui nini kilitokea

Ninqchokosana na Atheist ni wanawezaje kuelezea magap haya?? Ambayo ni mengi ajabu

Kilq tunapovumbua kitu maswali yanazidi kuwa mengi sas ainawezekanaje kirahisi mtu anadisimiaa uwezekano wa kuwepo kwa nguvu/kitu/mtu aliyetengeneza haya yote???
Ila tukiweza kuchunguza vzr Singularity ilio katikati ya black holes labda tutapata majibu. Ila kuna changamoto hapo.. nothing escapes the black holes gravity, not even light! Not even radiations! Kuna massive gravity kias cha kusambaratisha solar system yetu yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa tuna ukomo katika kujua hivi vitu though tumepiga hatua kubwa ukilinganisha na binaadamu walioishi zamani
 
Unaona ? Bado hatujui kila kitu kuhusu blackholes
Na vipo viblack hole vidogo vidogo ambavyo hatuwezi kuvielezea ila kwa nqdharia tu

Unaona ninachomaanisha?
Vipo vingi hatuvijui na kwa binafsi yangu hatuwezi kataa kabisa uwepo wa Mungu ikiwa kua magap kibao ya knowledge hatujayajaza

Yaani hatujui hata ktk transformation ya Australapithecus kwenda Homo sapiens kuna gap la miaka milioni 2-3 hatujui nini kilitokea

Ninqchokosana na Atheist ni wanawezaje kuelezea magap haya?? Ambayo ni mengi ajabu

Kilq tunapovumbua kitu maswali yanazidi kuwa mengi sas ainawezekanaje kirahisi mtu anadisimiaa uwezekano wa kuwepo kwa nguvu/kitu/mtu aliyetengeneza haya yote???

Kwa sasa tuna ukomo katika kujua hivi vitu though tumepiga hatua kubwa ukilinganisha na binaadamu walioishi zamani
Anha.. kumbe unabisha kwasababu ulitafuta gap la kuleta habari za mungu.

Dini ndivo zilivoanza ivoivo. Watu wakikosa majibu ya vitu wanasema "huenda yuko muumbaji". Mfano kuna hawa ndege wa msimu (nafkir ni flamingo) watu walikua wakiamini wanatumwa na mungu kutoka mwezini kila msimu... ila baadae sayansi ilivokua, wakachunguza wakaona kua wana migrate tu! Lol [emoji38]... kwahio sayansi inavozid kuadvance, tunavozid kupata majibu ya vitu tusivoweza kudadavua tegemea dini kutoweka kabisa. Zaman kulikua na imani nyingi sana kulinganisha na sasa. Ila zimebak kua "ancient mythology".

Unajua tatizo linakuja kwenye msururu wa maswali

Unasema wana migrate

Swali ni kwanini
Kwanini
Kwanini
Kwanini
Kwanini

Mpka inafika hatuq utajua kuwa hii yote ni system ambayo yupo aliyeitengeneza

Kujua tu wanaMigrate haileti sababau

Fikiria in a bigger picture haya mambo yana make sense
 
Yea. It makes sense kwamba watu wanaamini kwasababu hawana majibu ya maswali yao.... junsi tunavozid kupata majibu ndivo waamini wanazid kupungua...

Nchi za emirates saiv zinafanya dini kama tamaduni tu na sio imani
 
Back
Top Bottom