Uhai ulianzaje?

Uhai ulianzaje?

Safi, kwahiyo Singularity sayansi inatwambia ilianzaje?

Hatuwezi hata kueleza blackholes kikamilifu unaleta mambo ya singularity

Hatuna hata uhakika wa kinachoendelea chink kabisa ya bahati tuliyonayo zaidi ya miaka milioni kadhaa seuze space ambayo tumeanza kwenda juzi hapa???
Ulimwengu ulikwepo miaka mingi sana kabla ya binadamu kwaiyo huyu binadamu hawezi kujua kila kitu kuhusu ulimwengu maana bado ni mgeni, ukirudi backward kwenye source ya kila kitu lazima utafika kwenye point ambayo maarifa ya binadamu yamefika mwisho. Sio lazima tuwe na majibu ya kila kitu, ni bora kubaki na swali ambalo kwa sasa halina jibu kwa lengo la kuendelea kulichunguza kuliko kubeba jibu lolote hata kama halina logic wala evidence ilmradi tu swali husika lisiwe unfilled kwaiyo pale ambapo maarifa yetu yamefika mwisho ni bora kukubali hapa hatujui hii italeta chachu ya wengine kuendelea kuchunguza kuupata ukweli kuliko kuua akili ya udadisi kwa kupachika uzushi wa yule invisible old man aliyejificha uko mawinguni
 
Ukiachilia mbali fact ya kwamba hii dunia na ulimwengu wote havijaumbwa ndan ya wiki moja, kama vitabu vya dini fulan vinanyodai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimwengu ulikwepo miaka mingi sana kabla ya binadamu kwaiyo huyu binadamu hawezi kujua kila kitu kuhusu ulimwengu maana bado ni mgeni, ukirudi backward kwenye source ya kila kitu lazima utafika kwenye point ambayo maarifa ya binadamu yamefika mwisho. Sio lazima tuwe na majibu ya kila kitu, ni bora kubaki na swali ambalo kwa sasa halina jibu kwa lengo la kuendelea kulichunguza kuliko kubeba jibu lolote hata kama halina logic wala evidence ilmradi tu swali husika lisiwe unfilled kwaiyo pale ambapo maarifa yetu yamefika mwisho ni bora kukubali hapa hatujui hii italeta chachu ya wengine kuendelea kuchunguza kuupata ukweli kuliko kuua akili ya udadisi kwa kupachika uzushi wa yule invisible old man aliyejificha uko mawinguni
Umeharibu kusema ni uzushi kuwa kuna invisible old man

Maana kisayansi hatujui kwa uhakika kama yupo au la

Rekebisha hapo kwanza
 
Biblia inataja kua mbingu iko juu ya dunia. Mbingu iko juu na dunia iko chini. (Vifunfu vingi imeongelea, moja wapo ni Yohana 3:13)

Screenshot_20230221-144224_Google.jpg

Hio[emoji1483] ni picha ya dunia na mwezi, nioneshe juu ni wapi na chini wapi[emoji2377]

Kwahio kama hakuna heaven it's safe kusema kua hakuna mungu pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inataja kua mbingu iko juu ya dunia. Mbingu iko juu na dunia iko chini. (Vifunfu vingi imeongelea, moja wapo ni Yohana 3:13)

View attachment 2525082

Hio[emoji1483] ni picha ya dunia na mwezi, nioneshe juu ni wapi na chini wapi[emoji2377]

Kwahio kama hakuna heaven it's safe kusema kua hakuna mungu pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana suala la wapi ni juu na wapi chini inategemea umesimama wapi

Sijajua weww uko wapi ila kwa tulio hapa duniani tunajua wapi ni juu na wapi ni chini

Haihitaji degree ya Astrophysics kujua hili
 
Ukiwa duniani ndo kuna kua na juu au chini. Ila ukishatoka nje huko, ukiwa space, kunakua hamna juu wala chini.

Chini ni gravity inapokuvutia. Na juu ni kinyume chake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa duniani ndo kuna kua na juu au chini. Ila ukishatoka nje huko, ukiwa space, kunakua hamna juu wala chini.

Chini ni gravity inapokuvutia. Na juu ni kinyume chake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo biblia ilisema ni juu kutokea wapi

Biblia imeletwa kwa watu wa duniani na ikatumia lugha rahisi kuonesha juu ni wapi na watu wote duniani wote tunajua juu ni wapi

Au hujui juu ni wapi na ukitaka waseme mbingu iko wapi?
 
Umeharibu kusema ni uzushi kuwa kuna invisible old man

Maana kisayansi hatujui kwa uhakika kama yupo au la

Rekebisha hapo kwanza
Hakuna uthibitisho wowote wa uwepo wa uyo sky dad, as long as hakuna evidence inabaki kuwa hearsay. Kwenye sayansi unaanza kuthibitisha ndio hoja inakubalika uwezi ukataka hoja ikubalike kwanza ndio uzhibitisho ufuate
 
Kijana una mengi ya kusoma ila nakuacha na nukuu hii
“Absence of evidence is not evidence of absence “
 
Mimi nishajua ubishi wako wote ni kutafuta tu upenyo wa kupachika uzushi uliopandikizwa kwenye imani yako. Ni uthibitisho unaanza ndio madai yanakubalika, kutanguliza madai kabla ya uthibitisho huo ni uzushi. Huwezi ukaja na madai kwamba kuna invisible old man uko mawinguni ukiambiwa utoe uthibitisho unataka wanaokataa ndio wathibitishe kutokuwepo kwa uyo invisible old man. Mimi nikikwambia nimesoma harvard University wewe ukapinga ni mimi ndio natakaiwa kukuthibitishia kwa kukuonyesha cheti cha kuhitimu, nitakua mpumbavu nikitaka wewe ndio uthibitishe sijasoma harvard. Ifike hatua pale ambapo maarifa yetu yamefika mwisho tukubali hatujui sio kutafuta upenyo wa kupachika uzushi mliokalilishws kwenye imani zenu. Lakini Ili tusipoteze muda tuseme tu umeshinda
 
Ndiyo maana nimekwambia una mengi ya kujifunza

Mfano wa Harvard ni irrelevant na ishu kubwa tunayozungumzia

And btw, nani kasema Mungu ni Old mam? Hiyo pia ni poor analogy

Kwa kukusaidia kama una nia ya dhati kujifunza kuhusu Mungu hebu anza na Comparative religion (walau uelewe maana ya Mungu yenyewe)

Kama hujui Mungu ni nini/nani huwezi, at any capacity, kujadili mada hii
 
Kwaiyo chanzo cha uhai ni nini?
 
Back
Top Bottom