Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana na pengine Kuna watu walitumika kupigia pambio pasipo wao wenyewe kujua kama wanatumika, yaan mapambio yao yalifanywa kama yalivyofanyika kwenye ule mkutano wa "Wazuri hawafi".
Hivi Tafasiri ya "Mkutano Mkuu ndo wenye maamuzi ya mwisho " ndo hiii hii ambayo Hayati Baba wa Taifa alionya juu ya kakikundi kawatu kujifungia, na kuja na jina Moja ???.
Sasa wanapotokea watu wanaanza kuhoji , msitumie Nguvu kuwanyamazisha , jambo la pekee lilikua ni kujihoji mapema kabisa, kua hiki kinachofanyika Leo, hakitatulazimu kua na matumizi makubwa ya nguvu? Je watakua na ustahimilivu na uvumilivu ?
Sasa huyo ni Mwana CCM mwenyewe, LISSU anaanza kazi rasimi 15/2/2025..... Huyu LISSU na nguvu kubwa alonayo Ndani na nje, Mtammudu?.
Maamuzi ya Mkutano Mkuu linapokuja suala la Mgombea Urais, yanakua ya Mwisho kabisa baada ya mchakato wa kikatiba kumalizika.
Mkutano Mkuu ,haupaswi kuvunja Katiba.
Tabia hii ikiachwa itie mizizi, Kuna Siku MTU atamuachia Mwanawe Kijiti na Msihoji.