Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana na pengine Kuna watu walitumika kupigia pambio pasipo wao wenyewe kujua kama wanatumika, yaan mapambio yao yalifanywa kama yalivyofanyika kwenye ule mkutano wa "Wazuri hawafi".
Hivi Tafasiri ya "Mkutano Mkuu ndo wenye maamuzi ya mwisho " ndo hiii hii ambayo Hayati Baba wa Taifa alionya juu ya kakikundi kawatu kujifungia, na kuja na jina Moja ???.
Sasa wanapotokea watu wanaanza kuhoji , msitumie Nguvu kuwanyamazisha , jambo la pekee lilikua ni kujihoji mapema kabisa, kua hiki kinachofanyika Leo, hakitatulazimu kua na matumizi makubwa ya nguvu? Je watakua na ustahimilivu na uvumilivu ?
Sasa huyo ni Mwana CCM mwenyewe, LISSU anaanza kazi rasimi 15/2/2025..... Huyu LISSU na nguvu kubwa alonayo Ndani na nje, Mtammudu?.
Your browser is not able to display this video.
Maamuzi ya Mkutano Mkuu linapokuja suala la Mgombea Urais, yanakua ya Mwisho kabisa baada ya mchakato wa kikatiba kumalizika.
Mkutano Mkuu ,haupaswi kuvunja Katiba.
Tabia hii ikiachwa itie mizizi, Kuna Siku MTU atamuachia Mwanawe Kijiti na Msihoji.
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana na pengine Kuna watu walitumika kupigia pambio pasipo wao wenyewe kujua kama wanatumika, yaan mapambio yao yalifanywa kama yalivyofanyika kwenye ule mkutano wa "Wazuri hawafi".
Hivi Tafasiri ya "Mkutano Mkuu ndo wenye maamuzi ya mwisho " ndo hiii hii ambayo Hayati Baba wa Taifa alionya juu ya kakikundi kawatu kujifungia, na kuja na jina Moja ???.
Sasa wanapotokea watu wanaanza kuhoji , msitumie Nguvu kuwanyamazisha , jambo la pekee lilikua ni kujihoji mapema kabisa, kua hiki kinachofanyika Leo, hakitatulazimu kua na matumizi makubwa ya nguvu? Je watakua na ustahimilivu na uvumilivu ?
Sasa huyo ni Mwana CCM mwenyewe, LISSU anaanza kazi rasimi 15/2/2025..... Huyu LISSU na nguvu kubwa alonayo Ndani na nje, Mtammudu?.
Ukiona serikali inapinga kila kitu, hata kuchagua mtu mumtakaye je kama jeshi likifanya mapinduzi mtashangaa? Kwa sababu hakuna njia nyingine iliyobakia.
Mama na timu yake wameeanza campaigne mapema mno. Wamekataa kufuata Taratibu za chama wakapiga shotcut.
Acha liende bila dereva, litakapoangukia ndio hapo hapo.... m@m@Β£
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana na pengine Kuna watu walitumika kupigia pambio pasipo wao wenyewe kujua kama wanatumika, yaan mapambio yao yalifanywa kama yalivyofanyika kwenye ule mkutano wa "Wazuri hawafi".
Hivi Tafasiri ya "Mkutano Mkuu ndo wenye maamuzi ya mwisho " ndo hiii hii ambayo Hayati Baba wa Taifa alionya juu ya kakikundi kawatu kujifungia, na kuja na jina Moja ???.
Sasa wanapotokea watu wanaanza kuhoji , msitumie Nguvu kuwanyamazisha , jambo la pekee lilikua ni kujihoji mapema kabisa, kua hiki kinachofanyika Leo, hakitatulazimu kua na matumizi makubwa ya nguvu? Je watakua na ustahimilivu na uvumilivu ?
Sasa huyo ni Mwana CCM mwenyewe, LISSU anaanza kazi rasimi 15/2/2025..... Huyu LISSU na nguvu kubwa alonayo Ndani na nje, Mtammudu?.
Kwa sasa unadhani kuna Mzee gani anaweza akatoa nasaha zake kama za wale wazee wa Enzi zile na akasikilizwa ???!! π π !
Dunia inaenda mbio sana wajameni π³π !