Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 817 Reaction score 881 Jun 11, 2025 #1 "Pale taasisi inapojengwa juu ya mtu mmoja badala ya misingi, huishi kama kivuli cha maisha ya huyo mtu. Na pale ukanjanja unapochukua nafasi ya utawala, taasisi hugeuka kuwa hadithi ya muda mfupi — si urithi wa vizazi." — Alloyce, P.R.
"Pale taasisi inapojengwa juu ya mtu mmoja badala ya misingi, huishi kama kivuli cha maisha ya huyo mtu. Na pale ukanjanja unapochukua nafasi ya utawala, taasisi hugeuka kuwa hadithi ya muda mfupi — si urithi wa vizazi." — Alloyce, P.R.