GE2025 Uhaini wa Lissu kuendelea kusikilizwa tena Novemba 10, 2025 Mahakama Kuu kanda ya Dar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
1000499847.jpg

KESI ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuendelea siku ya jumatatu, tarehe 10 Novemba 2025, katika Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
 
mzee walikuwa wamuachie kipindi hichi mana kazi yao walishamaliza, lakini vijana wa Genz wamemkorogea sana
 
View attachment 3498236

It has become irrelevant as the general elections
 
mzee walikuwa wamuachie kipindi hichi mana kazi yao walishamaliza, lakini vijana wa Genz wamemkorogea sana
Tusitafute justification, Niffer mbona hajaachiwa? Na watu kibao tu walikuwa wanatekwa na kuuwawa kabla ya uchaguzi so hata ingekua vipi kama walitaka kumfunga au kumnyonga watamfunga tu maana hawa jamaa hawajali chochote.

Si unaona hata chaumma wameshiriki uchaguzi na hawakuandamana ila wamezawadiwa jimbo moja tu!!
 
MUNGU ni fundi Sana laiti kama angekuwepo uraiani angeangushiwa msala wote wa maandano..
Kila mbinu ya kukupiana Mpira imeshindikana na sasa wameanza kuwatupia wakenya
Kabisa, nilikuwa nawaza hili, Mungu ni fundi, wanaweza kufikiri ni akili zao ila alichokifanya Mungu hawajui
 
mzee walikuwa wamuachie kipindi hichi mana kazi yao walishamaliza, lakini vijana wa Genz wamemkorogea sana
kuna maridhiano yaja, wataachiwa wote pamoja na hao gen z mambo yaishe
 
mzee walikuwa wamuachie kipindi hichi mana kazi yao walishamaliza, lakini vijana wa Genz wamemkorogea sana
Doesnt make sense maana yupo ndani before gen z.
ndio maana hawajamuuganisha kwenye mashtaka ya sasa
 
Back
Top Bottom