Uhakika 100 % wa yatakyotokea leo Yanga vs Azam fc

Uhakika 100 % wa yatakyotokea leo Yanga vs Azam fc

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
 
MO nimemdharau sana pesa za simba anahonga marefa badala ya kusajili wachezaj wazur
dah aisee kweli bana na anatoaga hela ya kununua sumu ku spray vyumbani. sasa itakuwaje leo maana refa keshavuta chake toka kwa MO ili kuiua team tishio yenye wachezaji wakali inayoshika nafasi ya 20 kwa ubora barani afrika yaani Tasaf fc.
 
Fc matonya,,ahaaa yanga wametepeta ndembendembe
 
Zahera anawapa shida sana mikia. Kila siku yanamuota. Umeandika utumbo kwa jazba na hasira sana mkuu. Hivi mkituliza mshono haitoshi??
ushatuma mchango wako? kuna milioni tatu leo jioni ya faini TFF wanaisubiri kwa hamu,Tasaf fc,ulozi fc,vigagula fc
 
ushatuma mchango wako? kuna milioni tatu leo jioni ya faini TFF wanaisubiri kwa hamu,Tasaf fc,ulozi fc,vigagula fc
Dharau zenu mwisho tarehe 11/5 pale Serena hotel.. Billionaires wakichukua timu rasmi mtatafuta pa kujificha hamtapaona .. Nikuibie siri mzee baba ndani
 
Dharau zenu mwisho tarehe 11/5 pale Serena hotel.. Billionaires wakichukua timu rasmi mtatafuta pa kujificha hamtapaona .. Nikuibie siri mzee baba ndani
mnakubali tena team ichukuliwe jamani? mmeacha kujivunia umaskini?
 
Back
Top Bottom