Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Full Time au?Updates yanga 1-0 Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full Time au?Updates yanga 1-0 Azam
je muna uthibitisho ?MO nimemdharau sana pesa za simba anahonga marefa badala ya kusajili wachezaj wazur
Dk 70Full Time au?
Tena afike hapaHuyu aliyeandika huu upupu yuko wapi
Njoo uone ulichoandika huku! Ha ha ha** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1

Lete matokeo njomba.** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1

Akikujibu unistue,[emoji28][emoji28]Lete matokeo njomba.
SawaFc matonya,,ahaaa yanga wametepeta ndembendembe
Ngap huko..!** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
Mzee baba ukitaka kwenda nistueYanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
Yanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
Tunakutaka utimize ahadi Kama ulivyoahidi. Maana timu ya wananchi imeua mtu.Yanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
Mpaka sasa umefika wàpi? Nauli unayo?Yanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
Hiyo pesa imetoka wapi nani kasema yanga tuna pesa za kuwahonga marefa?REFA KAPEWA SH NGAPI KUKATAA GOAL LA AZAM?
Hana tumchangie tuMpaka sasa umefika wàpi? Nauli unayo?