nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.