nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #41
ile michango ya makapu na kusumbua wabunge dodoma kama hailipi mishahara ya wachezaji huwa inafanyia nini?Hiyo pesa imetoka wapi nani kasema yanga tuna pesa za kuwahonga marefa?
Umekosea kidogo. Kweli Yanga wamefunga goli moja murua sana.** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
Zipo za kulipa mishahara sio kuwapa marefaile michango ya makapu na kusumbua wabunge dodoma kama hailipi mishahara ya wachezaji huwa inafanyia nini?
Bora niichànğie timu ya wananchiHana tumchangie tu
Katafute Visa na pass ya kusafiria kama huna maana Azam Kanyongwa au huna taarifa? Wivu utawaua buree nyie. MfyuuuYanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
REFA KAPEWA SH NGAPI KUKATAA GOAL LA AZAM?
Kwa sasa naamini upo Tel Aviv au Jerusalem.Yanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina
Poleni mbumbumbu fcile michango ya makapu na kusumbua wabunge dodoma kama hailipi mishahara ya wachezaji huwa inafanyia nini?
Utabir wako umekamilia asilimia100** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
Utabir wako umekamilia asilimia100
Jamaa mtoa mada Bangi zinamsumbua.Mtoto wa kiume acha umbea wa kike wewe huna tofauti na Haji Manara.
Mbumbumbu FC at work!** Yanga a.k.a tasaf fc watapigwa 6-1
** Mwinyi zahera atailalamikia simba na Tff kwa kipigo hicho
**Yanga wataruka ukuta wakifuata maelekezo ya kilozi ya mwinyi zahera na wataingia uwanjani kwa style ya kikongo kushikana mkono huku wakinyooka katika mstari wa katikati ya uwanja ,huo ni utaalamu wa zahera kuua uchawi wa mpinzani
**Wachezaji kadhaa kusimamishwa baada ya mechi kwa madai ya kuhujumu team na canavaro kutolewa rasmi hata baada ya kujirejesha na hivyo kusababisha zahera kushika usukani rasmi wa kusimika wachezaji wake msimu ujao ambao tayari keshawasajili kwa mamilioni ya pesa huku akiwaambia waliopo wasithubutu kudai hela za mshahara kwa sababu ni utovu wa nidhamu.
Bado tu hujaenda kusuluhisha huo ugomvi wa Israeli na Palestina au unasuluhisha kupitia keyboards za hapa JF[emoji848]Yanga akishinda au kutoa sare na azam naenda kusuluhisha mgogoro wa israel na palestina