Uhakika: Jinsi Vita ya Urusi na Ukraine Itakavyokwamisha Upandishaji wa Mishahara ya Wafanyakazi

wewe umetumwa hii vita itaisha lini na kama bei ya vitu au ghararama ya maisha imepanda na kipato ni kile kile huyu mtumishi atawezaje kumudu hali hiyo?je atawalipiaje watoto wake ada za shule,maji,umeme nk wakati kipato chake bado ni kile kile?kwani mfanyakazi si mpiga kura?unamainisha nn unaposema wapiga kura watajiunga na sukuma gang na kumtupa mama nje.nani hao wapiga kura na sukuma gang.bila nyongeza wafanyakazi watapungua morali pia tija itapungua kwa kiasi kikubwa.delay yenu ya kutopandisha mishara gharama yake ndo hiyo.kama hamkuforecast ya mbele sasa kazi kwenu na msilete hivyo visababu vya kipuuzi humu ndani.mbona mabilioni ya pesa yanaibiwa kila siku na mmeshindwa kuthibiti sasa mnaleta ngonjera humu ndani.hakuna mbadala wafanyakazi lazima waongezwe mishahara kwa gharama ya maisha iko juu sana.
 
Mkuu wewe unataka mfumuko wa bei upande? Hujui kuwa wafanyakazi wakiongezewa mishahara wafanyabiashara watapandisha bei za bidhaa na huduma hivyo kuwaumiza wapigakura?
 
Hapa Rais Nyerere aliongea ukweli tupu bila chenga wala kutia chumvi. Wafanyakazi wake zao wamejaza miguo kwenye mikabati halafu wanataka wongezewe mshahara? Huo ni ubinafsi mkubwa sana.
Kaka mbona Una hasira sana? unaandika mwenyewe ,unajireply tena... punguza makasiriko.

Naunga mkono hoja yako ,wasiongezewe hata 10.
 
Kaka mbona Una hasira sana? unaandika mwenyewe ,unajireply tena... punguza makasiriko.

Naunga mkono hoja yako ,wasiongezewe hata 10.
Mkuu tulia sindano ziingie; bado masaa machache tu mama awapige wafanyakazi na kitu kizito kichwani.
 
Kwa hiyo watumish wao waendesheje maisha yao????
 
Kwa hiyo watumish wao waendesheje maisha yao????
Waendeshe kama wananchi wengine wanavyoendesha. Kwani wapigakura wengine wanaendeshaje maisha yao mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…