Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani.
Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye kusifika anaipeleka Tanzania na kuipandisha daraja la kuwa na wananchi wenye furaha na amani.
Mazingira yanayojengwa na Serikali ya Tanzania chini ya JPM yanaelekea kwenye vigezo vyote vitakavyotupaisha na kuwa wananchi wenye furaha, ukiangalia mazingira ya miji yetu mikuu yameanza kunoga, mazingira yah yaani mikoa wilaya hadi vijijini huko furaha imeanza kujengeka na kwa miaka michache tu ijayo basi hakutakuwa na nchi ya wananchi waliojawa na furaha kama Tanzania, kweli yajayo yanafurahisha.
Ni kuwa na moyo wa kuvumiliana na kuvuta subira ,wale wa leo kwa leo yaani hivi vyama vya upinzani wasubiri watengenezewe mazingila mazuri ya kiutawala,kiutekelezaji na kiuwajibikaji.
Tulieni muone baba wa Taifa alieibuka from nowhere akilinyanyua Taifa hili.