Mkuu, Mimi nikikutqna na mshabiki wa Simba ambao bado notion zao zinawaza ubingwa na kuhisi watabeba... Yaaan sibishani nao, Huwa nawacheka kwa Dharau alafu nawaambia hongereni kwa kubeba kombe mara ya 5 mfululizo.
Binafsi ningetamani utopolo wabebe tu..miaka minne mingi sana jamani! Ngoja na wao angalau warudi kwenye ramani.
Kwenye soka lolote linaweza kutokea..Yanga anaweza kuflop simba akatake advantage..lkn kiuhalisia tayari bingwa alishapatikana tangu msimu unaanza kinachoendelea sasa hv ni ushahidi tu wa kukamilisha ratiba.Lkn tusaidiane uelewa. Uhakika wa Simba kubeba ubingwa unatokana na nn hasa?
Na mkikosea mwaka huu msiwe Mabingwa, wallah kuna watu watazimia...!Maneno yatakayotamba baada ya ligi kuisha:TIMU YENYEWE IMEKAA MIAKA MINNE BILA UBINGWA TUMEWAACHIA TU
hata Mayele mwenyewe hajui km atafunga sembuse kuchukua ubingwa.We Ngoja Tupige KMC Tupige Na Azam Na Mayele Atupie Mechi Zote Izo Kama Kawaida Yake...Af Tukutane Iyo 30 April Tuwape Jibu Kamili Kwanini Tunasema Sisi Ni Mabingwa Msimu Huu.
Haiwezekani kukosa🤣🤣🤣Na mkikosea mwaka huu msiwe Mabingwa, wallah kuna watu watazimia...!