- Thread starter
- #41
Mwaka huu vp?
Ndo mmeanza kujua ubingwa mtachukua baada ya kuona nini labda? Miaka yote 4 hamkua na hyo tabia eee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mmeanza kujua ubingwa mtachukua baada ya kuona nini labda? Miaka yote 4 hamkua na hyo tabia eee
UchawiNimekuwa nasikia tambo na majigambo toka kwa viongozi, makocha na hata mashabiki wa Simba juu ya uhakika walionao kubeba ubingwa wa NBC premier league msimu huu.
Lakini mimi kwa uelewa wangu ni kwamba NI LAZIMA Yanga apoteze points zaidi ya mchezo wa watani (assuming that Simba will win that match) ndipo Simba atakuwa na uhakika (kama yeye atafanya vizuri).
Sasa ikiwa hivyo ndivyo, na ikiwa timu hizi mbili zitakutana mara moja tu katika raundi ya pili, je uhakika wa Simba kutwaa ubingwa msimu huu unatokana na nini?
Uchawi