johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbatia yupo kwenye maandalizi kabambe ya kuipiku chadema akisaidiwa na wanamikakati wa dola.. ameahidiwa kuachiwa baadhi ya viti bila kupingwa.Mbatia unafeli wapi?
Mbona Simba na Yanga havina ruzuku bwashee!Hivi kwa chama ambacho ''hakipati ruzuku'' kumiliki viti na meza pekee ni mapungufu ?
We jamaaa papuchi kweli. Simba na Yanga no vyamaMbona Simba na Yanga havina ruzuku bwashee!
Hivyo vina wadhamini na mashabiki wanaolipa viingilio milangoni.Mbona Simba na Yanga havina ruzuku bwashee!
Hahahaaaa....... Chama ni klabu tu wewe mbwiga!