Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
1710307234359.png

Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao

Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika

Je, wewe ni miongoni mwa Watu wanaohakiki kila taarifa kabla ya kuiamini?

Kufikia Jukwaa la JamiiCheck, bofya HAPA.
 
Nimeshtuka kidogo nizimie.

Nikajua mnataka ya nida.
 
Back
Top Bottom