Uhakiki wa umri wa Wachezaji-Rais mpya TFF

Uhakiki wa umri wa Wachezaji-Rais mpya TFF

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Hongera kwa ushindi mkubwa,tunaomba uanze na kufanya uhakiki wa umri wa Wachezaji
"Kipindi unacheza mpira ligi kuu mimi nipo shule ya msingi,leo nimemaliza Chuo lakini cha ajabu umeitwa kikosi cha under 20"
 
Ukitaka kuua söka la bongo kwa sasa fanya mambo mawili, hakiki umri na pima wavuta bangi tutabaki na wachache sana.
 
Kutokana na misosi yetu ni fresh
Utakuta mchezaji ana umri kama wa rogger millar lkn yupo first eleven ya Serengeti Boys
 
Back
Top Bottom