Uhalali wa bylaw ambayo haijasainiwa waziri mkuu

Uhalali wa bylaw ambayo haijasainiwa waziri mkuu

Madikizela

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2009
Posts
679
Reaction score
450
Heshima kwenu wakuu!
Nina ndugu yangu ambaye amepewa zabuni na halmashauri ya kutoza ushuru, utekelezaji wake ukawa mgumu kwa kuwa haijapitishwa na waziri mkuu.
Je mkataba alioingia na halmashauri ni halali? nini haki za kisheria

Nawasilisha
 
kimsingi ili by law ipate nguvu lazima ipitie taratibu zote, kama waziri mkuu hajasaini then you entered into a transaction which is not backed by the law, hata malipo yako yatakwama kwa kuwa hayana muongozo halali wa sheria. Hivyo basi every one is presumed to know the law, I presume also you knew that you knew there is no such law as the government didn't publicise it in the government gazzete, uwe mpole tu
 
Back
Top Bottom