Uhalali wa mambo haya kisheria ni upi?

MKILINDI

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
791
Reaction score
1,120
Naomba nitoe rai yangu katika jukwaa la sheria kwa kutaka kujua sheria ya tanzania inasemaje kuhusu vyama vya kisiasa kuandaa vijana kwa kuwalinda viongozi wao(kama wao wanavyodai) kwangu mi naita jeshi kama sio vikosi ambavyo naona hatari mbele ya tanzania yetu.
Nijuze kuhusu sheria ya tz kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…