Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

Joined
Oct 30, 2018
Posts
35
Reaction score
62
"Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
 
Hueleweki, shindano likitoka na mshindi kutangazwa mnataka nini tena?

Content zote ukiziandika JF zinabaki kuwa mali ya JF ndio maana hata thread yako huna access ya kuidelete.
 
na kama anamalalamiko mahakama haiwezi kumsaidia atumie njia zakichawi!,waroge tu umalize utata.
 
"Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
Ni ukweli mtupu. Japo watumiaji wanaweza wasiwe walioandaa mashindano.

Waandaaji wengine pia huuza mawazo ya washiriki kwa makampuni
 
Back
Top Bottom