"Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mamboYao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.