Uhalisi wa ndoa.....

Hapo kila mtu atasema anataka kurudi miaka kadhaa nyuma
 


Asante Bishanga nashukuru umelitambua hilo.... Alafu ni mara nyingi watu husema naonekana nina raha sana katika ndoa yangu. Nina raha sababu nataka iwe hivyo si kwamba hamna obstacles, ziko kibao for we are not in isolation - at the end of the day sie ni waswahili, kuna mambo fulani ya kiswahili toka pande zote za familia ambazo sometimes nazo ni vikwazo ... sioni shida kama naface obstacle katika ndoa ambayo yaweza tatulika - na nikijua inatatulika i don't panick, hivyo kuonekana nachukulia mambo simple... Si kweli ni mwanadamu naumia but najipa moyo yale ya muhim yako poa ....
 
i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner

bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:
Hahaha!!!!😛ound:😛ound:
 

Mkuu hapo kwenye rangi hapo.........nimekusomaaaaaaaa:A S-coffee:
 
i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner

bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:


A man admitting that... Very rare... Am proud....

The Following User Says Thank You to MTM For This Useful Post:

Asha D (Today)​
 
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
Kwanza ni vema kuwa na matarajio ili uweze kupima. Cha muhimu ni kuwa realistic kwa sababu utakuwa unadeal na mtu/watu na kila mmoja yupo tofauti na zaidi wanabadilika (dynamic) with time and circumstances. Ni muhimu pia ku-manage matarajio yako na hapo hapo matarajio ya mwenzako.

...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
Kikubwa ni kuwa na mwenza wa kushirikiana nae katika maisha. Lakini ni wazi pia kuna social pressure zilichangia kwa kiasi fulani (eg rafiki zako wa karibu wote wameoa, wazazi nyumbani wanakuuliza uliza mipango yako, unachoshwa na vya 'kupimiwa' na unataka vya 'kujipimia mwenye' etc).

...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
Hapana, si yote. Ni mchanganyikao kwa kweli. Mengine yalikuwa mabaya kuliko nilivyotarajia na mengine yalikuwa mazuri kupita matarajio. Kuna mengine kabla hujaingina unaweza kudhani unacontrol nayo kumbe hapana! Kwa mfano, unaweza kuwa ulitarajia watoto...lakini usipate na wakati mwingine bila sababu zinazoeleweka kitabibu!

...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
Ndoa zina ups and downs nyingi sana na haziishi! Hivyo sometimes yes najuta lakini mara nyingi nashukuru! Inategemea reference yako ni nini. Wakati mwingine ukiona kwako kunaungua ujue kwa mwenzio kunateketea!

...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Uamuzi tofauti kwenye nini? Kuoa au kutokuoa au nani wa kuoana nae? Maana all along kuna chain ya maamuzi tunafanya ambayo yanadetermine fate ya maisha yetu ya mbele ya ndoa. Kimsingi tunapofanya maamuzi ya kuoa tunakuwa tayari tumeshatengeza risk profile (ya vitu vyote ambavyo huvijui kwa wakati huo) na uamuzi mara nyingi unazingatia uhusiano kati ya 'risk' na 'return'. Sasa kama unajua kila kitu kwa sasa, ni kama vile hakuna risk yoyote - everything is certain! Sasa unless kama katika options zilizopo kwa wakati huo nazo hazina risk (I know everything of them now and in future), then bado ningemchagua huyu huyu niliye naye kwa kuzingatia 'returns' ambazo tayari nazijua. Najua katika ndoa nyingie jibu linaweza kuwa hapana.
 
mkuu bila yule shemeji yako sijui ningekua wapi... anavumilia ujinga wangu lakini pia ananipa faraja na matumaini, and sometimes i return the honors!!! :dance:
The Following User Says Thank You to MTM For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Bibi hii PhD yako mpenzi ni kiboko....nitaomba copy ya chapisho ikiisha. So interesting

Ntarudi
 
Sitazisoma posts za hii sredi
Ntajazisoma after kuolewa
 


1. Nilikubali kuolewa sababu nilimpenda/alinipenda pia

2. Mambo yalikuwa kama nilivyomuomba mungu na Mshukuru kwa hilo

3. Kwa kweli namshukuru Mungu kila siku tena SANA, maana kuna hata wadogo zangu nawaona wanavyoteseka kwa ndoa

4. Kwa sababu sijajuta, nikipata nafasi ya kurudi nyuma sitabadili chochote.

Lizzy ndoa ni jinsi inavyoipeleka wewe, ndo mana mimi siwezi kumtisha mtu kuingia kwenye ndoa hata siku moja na
wala ndoa sio mzigo. Wakuiharibu ni mwenye ndoa wenyewe.
 
Hahaha...naomba mawazo yako dear ili na wewe nikukumbuke kwenye speech yangu ya ushindi!


Partner leo umetupania nini wanandoa uko quiet mpaka nahisi umepanga bomu...
 
Partner leo umetupania nini wanandoa uko quiet mpaka nahisi umepanga bomu...
Kuna jamaa anampigisha misele ndio maana unaona anauliza maswali mengi kuhusiana na ndoa lol!!!:dance::dance:
 
Amen...
 
Kuna jamaa anampigisha misele ndio maana unaona anauliza maswali mengi kuhusiana na ndoa lol!!!:dance::dance:



Hio kweli ina logic ... Maaana nimeanza kuji-Qn... Ngoja tumvutie subira... Off topic - i think you have to clear something....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…