Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...πππ
2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani kua na wale wanaume wenye kuvutia hapo,shuleni,au kwenye makundi yao..ππ€£,huvutiwa vutiwa na wale wanaowatazama kwenye tamthilia,telenovela.
3:Katika umri wa miaka 18 wengine kwao,inaweza kua ndio huanza kujaribu ngono kwa mara ya kwanza,Ataanza kumsifia huyo mwanaume,na kuweka mipango ni jinsi gani hatakaa amsaliti huyo mwanaume,huweka ahadi kemkem huyo ndiyo mwanaume wa maisha yakeπ₯Έπ₯°
4: Katika umri wa miaka 20, Anaweza akawa ndio ameingia chuo sasa,Huko ataanza mahusiano mapya,na taratibu ataanza kupunguza mazoea na yule mwanaume wake,wa Awali..ππ,Taratibu anaanza kuvisahau vile vi ahadi vyake vya uongo na kweli.
5: Katika umri wa miaka 22,Hapa anaanza kutengeneza mazoea na urafiki na mabinti ambao,hupenda kuvaa nguo za gharama,kumiliki vitu kama simu ambazo ziko nje ya uwezo wao,pia ni mabinti ambao shabaha zao ni kutembea ama kuonekana na wanaume wa gharama,
Anaanza kuishi kwa kushindana ama kutaka kujulikana nayeye yumoππ
6: Katika umri wa miaka 24,Ameshakua wa gharama sasa anatembea na wanaume wenye uwezo fulani kifedha,hata maprofesa,Hivyo huu wakati kijana wa kawaida tu,choka choka fulani hivi hata akiomba namba,atakupatia jibu ambalo-unaweza ukalaani babu zako kwanini hawakuwaga matajiriπ€£π€£π€£π
7: katika huu umri 26,starehe zimepamba chart yake imepanda,yuko kwenye peak,au prime....
Anaanza kupandisha viwango tu kwa wanaume,kwanza anakua anataka mwanaume mwenye uwezo mkubwa,na sifa,cheo na pesa tuπ
8:Katika huu umri 26-27,Kichwa inaanza kukamata chanell,ile chaneli
Ya huruma na nidhamu inaanza kushika na kuonekana kwa marafiki zake,anaanza kuyahofia mahusiano,akiingia anachomoka haraka kila baada ya kutokuelewana,anaamini anatafunwa tu kama pizza..
Na chocolate,mtu muda wowote anaweza kumkachaπ₯΄π
9: kwenye miaka 28, wale wanaume wote waliokua wakimsifia,na kumpamba,na wengine waliokua wakimweleza ni jinsi gani wanampenda.....sasa anashusha standards,anafungua vioo,wanamuona...wanamvua chupi,,,wanarina asali kwa hasira..
Kisha wanachomoka na kuacha mzinga....ukiwa mtupu ππ₯°ππ
Anaamua kurudi kwa ex wake,huko nako kambi ilishapata mkimbizi,kila chaka lina nyokaπ₯Έ
10: katika miaka 29...Hakuna mmoja kati yao anayechumbia.
11: katika miaka 30,mikesha ya maombi ya mabwana,Makusanyiko ya kipentekoste,maombi ya komboa tumbo,makongamano ya kanyaga mafuta,makusanyiko ya vuka na chako.
Akija kwa manabii anaambiwa lete chupi,tuombee,,,mbaya zaidi kwa manabii uchwara uchwara akilegeza nyuzi tu nabii anamtumia nayeyeπ₯΄π
12: Katika 32-35,Ni kuhama kanisa baada ya kanisa,msingi baada ya msingi,baba niombee baba niombee.
Wanaanza kua watumwa tena wa dini,
Na akili zinakua utupu unaojazwa kila kitu na kuamini..pokeaπ€£π€£π€£
13:Katika miaka 40,Anaanza kuona na kuamini ndugu zake wa kifamilia na ukoo ni wachawi ndio wanaomchawia,
Anaona wengine ni wachawi,washirikina,na washirika wa falme za giza...
Kumbe kenyewe ndio kachawi ka fikra zake mwenyeweπ₯Ίπ₯Ί
14: Miaka 45,Anakua ni mshirika wa kudumu wa taasisi fulani ya dini,ni mshirika anayeongoza kwa kulia usiku na mchana hapo.π₯Έπ₯Έ
15: Miaka 50, Huyu ni kungwi na motivational speaker,anayewafundisha mabinti ujinga wake,
Ni kungwi anayepanda mbegu za chuki kwa masingo maza,
Ni kungwi anayewajaza mabinti namna ya kuishi bila mwanaume wakati yeye alihangaika miaka 20 yote katika kutafuta suluhu ya upuuzi wake alioupanda ujanani.πππ
HITIMISHO
Binti jitunze asili itakutunza.
Binti jiheshimu asili itakuheshimisha
Binti Upendo wa kweli ni mara moja.
Binti mwanaume kukosa hela,usimtafsiri kichwani mwako
Kua huyo ni masikini kukosa pesa sio umaskini,Bali ni hali ya mpito.
Lakini umaskini ni tatizo la akili.
Ahsante