Uhalisia kuhusu baadhi ya wanawake wa Kiafrika

Uhalisia kuhusu baadhi ya wanawake wa Kiafrika

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜

2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani kua na wale wanaume wenye kuvutia hapo,shuleni,au kwenye makundi yao..๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ,huvutiwa vutiwa na wale wanaowatazama kwenye tamthilia,telenovela.

3:Katika umri wa miaka 18 wengine kwao,inaweza kua ndio huanza kujaribu ngono kwa mara ya kwanza,Ataanza kumsifia huyo mwanaume,na kuweka mipango ni jinsi gani hatakaa amsaliti huyo mwanaume,huweka ahadi kemkem huyo ndiyo mwanaume wa maisha yake๐Ÿฅธ๐Ÿฅฐ

4: Katika umri wa miaka 20, Anaweza akawa ndio ameingia chuo sasa,Huko ataanza mahusiano mapya,na taratibu ataanza kupunguza mazoea na yule mwanaume wake,wa Awali..๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜,Taratibu anaanza kuvisahau vile vi ahadi vyake vya uongo na kweli.

5: Katika umri wa miaka 22,Hapa anaanza kutengeneza mazoea na urafiki na mabinti ambao,hupenda kuvaa nguo za gharama,kumiliki vitu kama simu ambazo ziko nje ya uwezo wao,pia ni mabinti ambao shabaha zao ni kutembea ama kuonekana na wanaume wa gharama,
Anaanza kuishi kwa kushindana ama kutaka kujulikana nayeye yumo๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

6: Katika umri wa miaka 24,Ameshakua wa gharama sasa anatembea na wanaume wenye uwezo fulani kifedha,hata maprofesa,Hivyo huu wakati kijana wa kawaida tu,choka choka fulani hivi hata akiomba namba,atakupatia jibu ambalo-unaweza ukalaani babu zako kwanini hawakuwaga matajiri๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜Ž

7: katika huu umri 26,starehe zimepamba chart yake imepanda,yuko kwenye peak,au prime....
Anaanza kupandisha viwango tu kwa wanaume,kwanza anakua anataka mwanaume mwenye uwezo mkubwa,na sifa,cheo na pesa tu๐Ÿ˜Ž

8:Katika huu umri 26-27,Kichwa inaanza kukamata chanell,ile chaneli
Ya huruma na nidhamu inaanza kushika na kuonekana kwa marafiki zake,anaanza kuyahofia mahusiano,akiingia anachomoka haraka kila baada ya kutokuelewana,anaamini anatafunwa tu kama pizza..
Na chocolate,mtu muda wowote anaweza kumkacha๐Ÿฅด๐Ÿ˜Ž

9: kwenye miaka 28, wale wanaume wote waliokua wakimsifia,na kumpamba,na wengine waliokua wakimweleza ni jinsi gani wanampenda.....sasa anashusha standards,anafungua vioo,wanamuona...wanamvua chupi,,,wanarina asali kwa hasira..
Kisha wanachomoka na kuacha mzinga....ukiwa mtupu ๐Ÿ˜‹๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Anaamua kurudi kwa ex wake,huko nako kambi ilishapata mkimbizi,kila chaka lina nyoka๐Ÿฅธ

10: katika miaka 29...Hakuna mmoja kati yao anayechumbia.

11: katika miaka 30,mikesha ya maombi ya mabwana,Makusanyiko ya kipentekoste,maombi ya komboa tumbo,makongamano ya kanyaga mafuta,makusanyiko ya vuka na chako.
Akija kwa manabii anaambiwa lete chupi,tuombee,,,mbaya zaidi kwa manabii uchwara uchwara akilegeza nyuzi tu nabii anamtumia nayeye๐Ÿฅด๐Ÿ˜Ž

12: Katika 32-35,Ni kuhama kanisa baada ya kanisa,msingi baada ya msingi,baba niombee baba niombee.
Wanaanza kua watumwa tena wa dini,
Na akili zinakua utupu unaojazwa kila kitu na kuamini..pokea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

13:Katika miaka 40,Anaanza kuona na kuamini ndugu zake wa kifamilia na ukoo ni wachawi ndio wanaomchawia,

Anaona wengine ni wachawi,washirikina,na washirika wa falme za giza...
Kumbe kenyewe ndio kachawi ka fikra zake mwenyewe๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

14: Miaka 45,Anakua ni mshirika wa kudumu wa taasisi fulani ya dini,ni mshirika anayeongoza kwa kulia usiku na mchana hapo.๐Ÿฅธ๐Ÿฅธ

15: Miaka 50, Huyu ni kungwi na motivational speaker,anayewafundisha mabinti ujinga wake,

Ni kungwi anayepanda mbegu za chuki kwa masingo maza,
Ni kungwi anayewajaza mabinti namna ya kuishi bila mwanaume wakati yeye alihangaika miaka 20 yote katika kutafuta suluhu ya upuuzi wake alioupanda ujanani.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

HITIMISHO
Binti jitunze asili itakutunza.
Binti jiheshimu asili itakuheshimisha
Binti Upendo wa kweli ni mara moja.
Binti mwanaume kukosa hela,usimtafsiri kichwani mwako

Kua huyo ni masikini kukosa pesa sio umaskini,Bali ni hali ya mpito.

Lakini umaskini ni tatizo la akili.
Ahsante
 
Ni kungwi anayepanda mbegu za chuki kwa masingo maza,
Ni kungwi anayewajaza mabinti namna ya kuishi bila mwanaume wakati yeye alihangaika miaka 20 yote katika kutafuta suluhu ya upuuzi wake alioupanda ujanani.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Ndio Hawa wanaitwa Dadaz kwenye Tv๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Wale ni Loisers wakichezea starshe sasa wanaona kama wamepata hasara.
Kama ulikula starege lizika tu na wengine wale na sio kuchonga ngenga.

Ujumbe uwafikie Feminists woote
 
Back
Top Bottom