Uhalisia ulivyo

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Ukiona MTU anadai kuwa anakupenda kwa kigezo kuwa akikuona anafurahi au anafurahia kuwa na wewe elewa kuwa MTU Hugo hakupendi kabisa.
 
Umepata bumu maana naskia mnatumia 300 kwa siku sijui wewe vip tuanzie hapo kwanza
 
Ha..ha...haa...tatizo tunaparamia hoja hatutaki kutafakari niliandika kifalsafa zaidi sina maana ya juu juu au kujihami.
Nilitaka kujenga hoja yangu kwenye uhalisia kwamba kama mtu anafurahishwa na wewe au anapata furaha anapokuwa na wewe na kusema anakupenda ukweli ni kwamba anapenda hali anayoipata anapokuwa na wewe na siyo wewe.
Anapenda furaha anayoipata kutoka kwako na siyo wewe.
That is materialist habit...na ni wengi tupo hivi.
Nieleweke hivyo ila sizuii watu kunielewa wanavyotaka wao
 
Kuna yule ambaye akimuona mpenzi wake analia kabisa kabisa sasa huyo tuna mterm vipi!!?
 
Hugo atakuwa ana tatizo la kushindwa kutawala hisia zake badala yake zinakuwa passion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…