Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Ukiona MTU anadai kuwa anakupenda kwa kigezo kuwa akikuona anafurahi au anafurahia kuwa na wewe elewa kuwa MTU Hugo hakupendi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka funguuuukaUkiona MTU anadai kuwa anakupenda kwa kigezo kuwa akikuona anafurahi au anafurahia kuwa na wewe elewa kuwa MTU Hugo hakupendi kabisa.
Mimi siyo student kama wewe usikaririUmepata bumu maana naskia mnatumia 300 kwa siku sijui wewe vip tuanzie hapo kwanza
Amoxilin ha...ha...haaaa..Mkitendwa zinaruka kwa mda.
Punzika kidogo kisha uje tena.