Uhalisia wa GPA na uwezo wa mtu kiakili

Toa kipimo chako basi.
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemsha
 
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemsha

Shida ya watu mnakosoa bt hamtoi alternative. Eti hakuna kipimo cha kisayansi...embu tupe uthibitisho wa kiutafiti kuwa hakuna kipimo cha kisayansi
 
Shida ya watu mnakosoa bt hamtoi alternative. Eti hakuna kipimo cha kisayansi...embu tupe uthibitisho wa kiutafiti kuwa hakuna kipimo cha kisayansi
a simple answer, not everything is researched, not everything is discovered. kama hakuna any justifiable proof of science to detect somebody's brain ability basi huo ndio ushahidi kuwa hakuna kitu kama hicho na sayansi sio uchawi kuwa ni jambo la siri na kama ugunduzi ukifanyika hata leo unachapishwa, KWA HIYO KUKOSEKANA KWA UTAFITI ILIOFANIKIWA MPAKA SASA NDIO USHAHIDI. google is your friend na sitaki kujisumbua. na kama unaweza kuleta ushahidi kuwa kipimo cha akili kipo leta hapa kama hujakimbia
 
Acha kutetea udhaifu kijana
 
Acha kutetea udhaifu kijana
huwa siwezi kulumbana kwenye vitu vyepesi namna hii vinavyohitaji ushahidi tu na si hoja. endelea kuamini kuwa kuna kipimo huku hakipo. na jina lako linaonyesha umesoma uchumi na huna uelewa mpana na mambo ya sayansi. huuni mtizamo wangu tu wala usinitafute.
 
Looser!!!!!!!!!
 
Looser!!!!!!!!!
sijawahi kuona mpaka mchezaji anajigeuza kuwa refa,si uache wachangiaji wengine ndio waseme kuwa mimi ni looser nimechemsha kwa hoja zangu, wewe hukubaliani na mimi alafu huyohuyo unajipa majukumu ya kuamua mshindi kuwa ni wewe.
 
You are what you say. Shida kwelikweli
 
Nenda kawachukue watu wa kutoka SUA wenye hizo GPA uwafanyie interview then urudi hapa utuambie ukweli.
Tatizo mnasoma vyuo kigeugeu, Wanaofaulu ndo wanarudia na wanaofeli ndo wana-graduate. Eti chuo watu wanaingia kwenye UE wako Pwaa.!! Na matokeo yakija wana A A ...
 
GPA has no relation with general ability of the person to be perfect in life ,only shows the performance of passing set of examinations.Lower GPA cannot prove that you are poor in every thing.Generally people with average or lower pass marks have been successful in life comparable with the higher pass marks students.
 
Chukua Shikamoo yangu plus like like!
 
Umeongea vzr ila umekosea kitu kimoja ufaulu sana na kufanya vbaya hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kufanikiwa ktk maisha,mafanikio ya maisha yanatokana na jitahadi+kudra za Mwenyezi mungu,ndio maana kuna akina bill gate na kina bakharesa,i mean usimuhukumu mtu aliyefaulu sana na mafanikio,yeye amepata mafanikio ktk hilo na ww unaweza pata mafanikio kwa lingine kama hao niliokuorodheshea.
 
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemsha

Sio kweli IQ-enteligent Quotient inapimwa mkuu.
 
Sio kweli IQ-enteligent Quotient inapimwa mkuu.
narudia tena hakuna kipimo cha kisayansi kupima uwezo wa mtu kiakili, ukienda kupima malaria unachukuliwa damu, ukienda kupima ukimwi unachukuliwa damu,ukienda kupima magonjwa mengi utachukuliwa composition ama products za mwili kama stool , mkojo nk. NIAMBIE HICHO KIPIMO CHA KUPIMA AKILI WANACHUKUA SPECIMEN GANI KUINGIZA KWENYE MASHINE IPIME? kipimo cha kuuliza ni kipimo gani? soma hapa uniambie kama kuna kipimo na kinaitwaje kama hujakimbia ama ulikuwa huelewi haya mambo ila ulikuwa unasikia, ama kanitafutie kokote uniletee kipimo cha akili. HATA MTIHANI UNAULIZA MASWALI NK, mwanafunzi aanafaulu leo alafu kesho anafeli,ama anafeli leo kesho anafaulu, hizo IQ test zinategemea mtu kaamkaje, amesoma mambo mangapi nk nk, hata miaka hupimwa kwa kuchukua sehemu ya mfupa wa mtu na ndio maana hakuna kipimo cha miaka kwa mtu aliye hai. NAKUSUBIRI

http://www.google.com/url?sa=t&rct=...0w75ma0XTpOYA_nVetnruqA&bvm=bv.65397613,d.ZGU
 
asilimia kubwa ya wanaopata GPA kubwa huwa na ufanis mzur kwny utendaji kazin, na asilimia chache sana ya wenye GPA ndogo ambao wana ufanisi mzur weng wao huendelea kuw vilaza had makazin, kwhyo kwa point hyo ni vema kuconsider GPA tunapochagua watu makin kazin
 
Hivi bakhresa ana gpa ya ngap???

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…