Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemshaToa kipimo chako basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemshaToa kipimo chako basi.
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemsha
a simple answer, not everything is researched, not everything is discovered. kama hakuna any justifiable proof of science to detect somebody's brain ability basi huo ndio ushahidi kuwa hakuna kitu kama hicho na sayansi sio uchawi kuwa ni jambo la siri na kama ugunduzi ukifanyika hata leo unachapishwa, KWA HIYO KUKOSEKANA KWA UTAFITI ILIOFANIKIWA MPAKA SASA NDIO USHAHIDI. google is your friend na sitaki kujisumbua. na kama unaweza kuleta ushahidi kuwa kipimo cha akili kipo leta hapa kama hujakimbiaShida ya watu mnakosoa bt hamtoi alternative. Eti hakuna kipimo cha kisayansi...embu tupe uthibitisho wa kiutafiti kuwa hakuna kipimo cha kisayansi
a simple answer, not everything is researched, not everything is discovered. kama hakuna any justifiable proof of science to detect somebody's brain ability basi huo ndio ushahidi kuwa hakuna kitu kama hicho na sayansi sio uchawi kuwa ni jambo la siri na kama ugunduzi ukifanyika hata leo unachapishwa, KWA HIYO KUKOSEKANA KWA UTAFITI ILIOFANIKIWA MPAKA SASA NDIO USHAHIDI. google is your friend na sitaki kujisumbua. na kama unaweza kuleta ushahidi kuwa kipimo cha akili kipo leta hapa kama hujakimbia
huwa siwezi kulumbana kwenye vitu vyepesi namna hii vinavyohitaji ushahidi tu na si hoja. endelea kuamini kuwa kuna kipimo huku hakipo. na jina lako linaonyesha umesoma uchumi na huna uelewa mpana na mambo ya sayansi. huuni mtizamo wangu tu wala usinitafute.Acha kutetea udhaifu kijana
huwa siwezi kulumbana kwenye vitu vyepesi namna hii vinavyohitaji ushahidi tu na si hoja. endelea kuamini kuwa kuna kipimo huku hakipo. na jina lako linaonyesha umesoma uchumi na huna uelewa mpana na mambo ya sayansi. huuni mtizamo wangu tu wala usinitafute.
sijawahi kuona mpaka mchezaji anajigeuza kuwa refa,si uache wachangiaji wengine ndio waseme kuwa mimi ni looser nimechemsha kwa hoja zangu, wewe hukubaliani na mimi alafu huyohuyo unajipa majukumu ya kuamua mshindi kuwa ni wewe.Looser!!!!!!!!!
sijawahi kuona mpaka mchezaji anajigeuza kuwa refa,si uache wachangiaji wengine ndio waseme kuwa mimi ni looser nimechemsha kwa hoja zangu, wewe hukubaliani na mimi alafu huyohuyo unajipa majukumu ya kuamua mshindi kuwa ni wewe.
Kwanza mi nikiri kuwa GPA ni kipimo cha kisayansi juu ya uwezo wa mtu darasani (but not applicable in practical life) hapa namaanisha hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya GPA kubwa na mafanikio ya kimaisha.
Sasa kuna watu bila ku consider mazingira ya mtu alipokuwa chuo, moja kwa moja wanamjaji uwezo wake wa akili na GPA, masalani yule aliyepata GPA ndogo huchukuliwa kama kilaza asiyeweza fanya chochote kwenye ulimwengu huu.
Kilichonishangaza ni matokeo ya juzi ya watahiniwa wa nafasi mbalimbali za kazi TPDC, kuna watu wane score mpaka zero, imagine!
Kwa wasiofahamu TPDC huitwa kwenye usaili wenye 1st na 2nd upper class tu. Wenye 2nd lower kushuka chini hawatakiwi kwenye hili shirika letu la umma. What a discrimination!
Sasa swali langu how come mtu awe na hizo sifa za kitaaluma anashindwa kupata japo 1%.
Ni aibu kwa mtu kuamini GPA ndo zinafanya kazi, huku wenye GPA kubwa wakiwatia aibu wenzao kwa kushindwa kujibu hata swali moja.
Kwa mfano nafasi niliyofanya written interview mimi mtu wa mwisho ana 8, imagine.
Ifike wakati wa watanzania kuacha kubaguana sisi kwa sisi, tutakuwa tunaliangamiza taifa letu.
Mimi sina hizo GPA zao walizotaka but nadhani walini shotlist kutoka na Masters yangu, na nimeshika nafasi ya pili kati ya mamia tuliofanya hiyo written interview.
Naamini walitakiwa kuwa fair kwa kuita wote walioomba kwenye written then from there wangepata right candidates for oral interview

GPA has no relation with general ability of the person to be perfect in life ,only shows the performance of passing set of examinations.Lower GPA cannot prove that you are poor in every thing.Generally people with average or lower pass marks have been successful in life comparable with the higher pass marks students.
Umeongea vzr ila umekosea kitu kimoja ufaulu sana na kufanya vbaya hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kufanikiwa ktk maisha,mafanikio ya maisha yanatokana na jitahadi+kudra za Mwenyezi mungu,ndio maana kuna akina bill gate na kina bakharesa,i mean usimuhukumu mtu aliyefaulu sana na mafanikio,yeye amepata mafanikio ktk hilo na ww unaweza pata mafanikio kwa lingine kama hao niliokuorodheshea.GPA has no relation with general ability of the person to be perfect in life ,only shows the performance of passing set of examinations.Lower GPA cannot prove that you are poor in every thing.Generally people with average or lower pass marks have been successful in life comparable with the higher pass marks students.
hakuna kipimo cha kisayansi kinachoweza kutoa majibu juu ya uwezo wa mtu kiakili. labda ubuni wewe. si kila kitu kimegunduliwa, hapa bado wanasansi tumechemsha
narudia tena hakuna kipimo cha kisayansi kupima uwezo wa mtu kiakili, ukienda kupima malaria unachukuliwa damu, ukienda kupima ukimwi unachukuliwa damu,ukienda kupima magonjwa mengi utachukuliwa composition ama products za mwili kama stool , mkojo nk. NIAMBIE HICHO KIPIMO CHA KUPIMA AKILI WANACHUKUA SPECIMEN GANI KUINGIZA KWENYE MASHINE IPIME? kipimo cha kuuliza ni kipimo gani? soma hapa uniambie kama kuna kipimo na kinaitwaje kama hujakimbia ama ulikuwa huelewi haya mambo ila ulikuwa unasikia, ama kanitafutie kokote uniletee kipimo cha akili. HATA MTIHANI UNAULIZA MASWALI NK, mwanafunzi aanafaulu leo alafu kesho anafeli,ama anafeli leo kesho anafaulu, hizo IQ test zinategemea mtu kaamkaje, amesoma mambo mangapi nk nk, hata miaka hupimwa kwa kuchukua sehemu ya mfupa wa mtu na ndio maana hakuna kipimo cha miaka kwa mtu aliye hai. NAKUSUBIRISio kweli IQ-enteligent Quotient inapimwa mkuu.
Kwanza mi nikiri kuwa GPA ni kipimo cha kisayansi juu ya uwezo wa mtu darasani (but not applicable in practical life) hapa namaanisha hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya GPA kubwa na mafanikio ya kimaisha.
Sasa kuna watu bila ku consider mazingira ya mtu alipokuwa chuo, moja kwa moja wanamjaji uwezo wake wa akili na GPA, masalani yule aliyepata GPA ndogo huchukuliwa kama kilaza asiyeweza fanya chochote kwenye ulimwengu huu.
Kilichonishangaza ni matokeo ya juzi ya watahiniwa wa nafasi mbalimbali za kazi TPDC, kuna watu wane score mpaka zero, imagine!
Kwa wasiofahamu TPDC huitwa kwenye usaili wenye 1st na 2nd upper class tu. Wenye 2nd lower kushuka chini hawatakiwi kwenye hili shirika letu la umma. What a discrimination!
Sasa swali langu how come mtu awe na hizo sifa za kitaaluma anashindwa kupata japo 1%.
Ni aibu kwa mtu kuamini GPA ndo zinafanya kazi, huku wenye GPA kubwa wakiwatia aibu wenzao kwa kushindwa kujibu hata swali moja.
WIVU KAZINI
Nahisi alitaka kututaarifu kwamba ana master degree na written interview alikuwa wa pili
hana masters kilaza tu huyo anaogopa kushambuliwa aliapply akapigwa chini.
We sema mi kilaza but kwa taarifa yako nimelamba ajira na ukilaza wangu hapo hapo TPDC.