education is a tool of classes,that's over!
Hivi bakhresa ana gpa ya ngap???
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
kilaza tu huna lolote. gpa 2.8
Nahisi alitaka kututaarifu kwamba ana master degree na written interview alikuwa wa pili
kama mtu anaejielewa ni wazi kuwa TPDC na wengine wote wanaotumia GPA kuwaita watu katika usaili huwa wanafanya ubaguzi tena mkubwa sana..GPA watu wanapewa kwa kushikwa maziwa(matiti),sexual harasment,pesa,udini,ukabila namaanisha mahusiano yasio halali na walimu...me nimesoma chuo kimoja jijini DSM kuna mtu tena rafiki angu kapewa A ya research iliyompeleka GPA ya 3.5 kwa sababu eti ye na yule alietusimamia ni kabila moja...Tunatakiwa kwa pamoja tukemee ubaguzi wa aina yeyote na popote.na sio kuteteo ujinga huu wa kibaguzi uendelee.NAWASILISHA
watu wanakariri sana vyuoni
mmemaliza?
IMEMSAIDIA KUJUA NAMNA YA KUIBA BILA WENYE GPA YA 2 KUJUA..... ahahahaKwa upande mwingine GpA inakua haina maana pale haireflect utendaji kazi wa huyo awardee. Imagine mtu anakuwa mwizi, rushwa, mtu wa kufoji foji...Gpa imemsaidia nn ili awe bora kulinganisha n aliescore 2.5?
Inategemea ntu na ntu ,Kuna watu GPA zao ndo zinawaweka juu na kuwapa opportunities za maana,..hii thread wenye gpa mchechemeo lazima waponde..hahahha,