Uhalisia wa GPA na uwezo wa mtu kiakili

Uhalisia wa GPA na uwezo wa mtu kiakili

Hivi bakhresa ana gpa ya ngap???

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

dangote..bill gates...bakresa..mengi...patrice motsepe ..BET founder..steve jobs...mark zuckerberg.......HAKUNA MAMBO YA GPA in real life..kama tunazungumzia gpa basi kwaajili ya kujisifia au kusifu au kuajiliwa tu..
 
kama mtu anaejielewa ni wazi kuwa TPDC na wengine wote wanaotumia GPA kuwaita watu katika usaili huwa wanafanya ubaguzi tena mkubwa sana..GPA watu wanapewa kwa kushikwa maziwa(matiti),sexual harasment,pesa,udini,ukabila namaanisha mahusiano yasio halali na walimu...me nimesoma chuo kimoja jijini DSM kuna mtu tena rafiki angu kapewa A ya research iliyompeleka GPA ya 3.5 kwa sababu eti ye na yule alietusimamia ni kabila moja...Tunatakiwa kwa pamoja tukemee ubaguzi wa aina yeyote na popote.na sio kuteteo ujinga huu wa kibaguzi uendelee.NAWASILISHA
 
kilaza tu huna lolote. gpa 2.8

Hahahaha aiseee!
Huruma sana. Ngoja nikukumbushe kuna mtu ana GPA 2.5 na ni president wa nchi yako, mi nina 2.8 mbona ni kichwa sana!? Endelea kujificha nyuma ya keyboards na kubwabwaja siye na ukilaza wetu tunasonga mbele, we endelea kuishi kwa babako na mamako na mgpa wako wa 5 sijui! Huku ukishinda hapa jf kukosoa wenzio. Endelea kula, kulala na kujaza choo cha wanakusitiri.
 
kama mtu anaejielewa ni wazi kuwa TPDC na wengine wote wanaotumia GPA kuwaita watu katika usaili huwa wanafanya ubaguzi tena mkubwa sana..GPA watu wanapewa kwa kushikwa maziwa(matiti),sexual harasment,pesa,udini,ukabila namaanisha mahusiano yasio halali na walimu...me nimesoma chuo kimoja jijini DSM kuna mtu tena rafiki angu kapewa A ya research iliyompeleka GPA ya 3.5 kwa sababu eti ye na yule alietusimamia ni kabila moja...Tunatakiwa kwa pamoja tukemee ubaguzi wa aina yeyote na popote.na sio kuteteo ujinga huu wa kibaguzi uendelee.NAWASILISHA

We unamix mambo, tatizo la kutokuwa waaminifu wachache wasiharibu maana ya Gpa. Kwanza Gpa ni grade points average yaani wastan wa grades zako zoote. Sasa walimu wote wakabila? Au ni washika chuchu? Kasafishe cheti in case kuna hiyo nafasi
 
Kwa upande mwingine GpA inakua haina maana pale haireflect utendaji kazi wa huyo awardee. Imagine mtu anakuwa mwizi, rushwa, mtu wa kufoji foji...Gpa imemsaidia nn ili awe bora kulinganisha n aliescore 2.5?
 
Hakuna kipimo duniani ambacho ni perfect; ndio maana waajiri wanaanza na GPA na kumaliza na mechanisms nyingine za kuchuja wanayemtaka...

Ukianza kukataa GPA utaja kataa kuwa mshindi wa uchaguzi si mwenye kura nyingi....kwa kuwa wapiga kura wanafuata mkumbo hawajui wanachagua mtu kwa kigezo kipi
 
At first, GPA ndio mpango mzima, its a tool for discrimination and traffic manager in interviews.

Ukiita kila mtu kwenye usaili, je utasaili wangapi?

Understand the meaning behind the term "education"
 
Inategemea ntu na ntu ,Kuna watu GPA zao ndo zinawaweka juu na kuwapa opportunities za maana,..hii thread wenye gpa mchechemeo lazima waponde..hahahha,
 
Kwa upande mwingine GpA inakua haina maana pale haireflect utendaji kazi wa huyo awardee. Imagine mtu anakuwa mwizi, rushwa, mtu wa kufoji foji...Gpa imemsaidia nn ili awe bora kulinganisha n aliescore 2.5?
IMEMSAIDIA KUJUA NAMNA YA KUIBA BILA WENYE GPA YA 2 KUJUA..... ahahaha
 
kukariri ndio msingi wa gpa , huwezi pisha watu . una ndg yako mtumie...elimu imekwishaa watu wanatafuta vyeti.
 
Inategemea ntu na ntu ,Kuna watu GPA zao ndo zinawaweka juu na kuwapa opportunities za maana,..hii thread wenye gpa mchechemeo lazima waponde..hahahha,

Kweli, vilaza tuwaone mkiponda hii thead!
 
Na GPA zao kubwa wanapanga foleni uwanjanwa taifa kwenye interview uhamiaji..mxxxxx
 
Mambo ya GPA Anayajua Biil Gates anasema hakuwahi kuwa top in the Class lkn anawaajiri waliokuwa top in the ClassGPA kubwa nyingi sio creative na hazijui kukabiliana na maishandio maana wengi wanaofanya vizuri kwenye really life ni wale ambao walikuwa na GPA ndogo au hawakupata opportunity ya shule
 
Back
Top Bottom