Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?


Hizi isibati sizielewi 0.2+0.3 = ).4?
 
Mbona hata private school nako wamefeli vibaya? Na huko nako wanadai maslahi?
 
Serikali imeshindwa kusimamia sekta hii.Mbati (MB) alisema hatuna mitaala,watu aaaah....ooohhhh.....chizi huyo wengine mkaguna.Haya ndio matokeo ya serikali yenu.
 
Ingekuwa nchi zingine waziri angekuwa ameishajiuzulu la sivyo maandamano.
 
WanaJF Naamini kwa asilimia 90 wengi wenu ni Critical thinkers, na kwa mtazamo huo huo tukiachilia mbali tofauti za kisiasa na Itikadi za kidini twaweza kuzungumza na kupata ufumbuzi wa hili tatizo ongezeko la wadogo/watoto wetu kufeli mitihani yao ya kidato cha nne!
Hints:
1.Ni nin hasa sababu kuu zinazopelekea hawa watoto kufeli kiasi cha kupata sifuri 60%.
2. Nani hasa awajibike kwa maana ya Mwanafunzi, Mzazi, Serikali.
Sitaki kuamini kwamba asilimia 60 ya wahitimu ni vilaza kiasi cha kukosa daraja la nne (Division four) Mimi binafsi nawasiwasi na Ongezeko kubwa la shule za O'level pasipo kuongeza shule za A'level, hata kama wangefaulu tungewapeleka wapi wakati uwezo wa shule za A'level kwa sasa unakidhi asilimia 15 ya wahitimu wote!
Naomba mchango wako!
 
Kwa taarifa huyu jamaa hajui maana ya elimu, unajua ana shahada ambayo haina gpa? Sasa wewe shangaa aliipataje ndio maana kila kitu anaona ni rahisi kama alivyofanya yeye.
 
Ulicho kisema ni kweli kabisa mkuu,lakini pia vijana wetu siku izi hawajitumi sana kama zamani,ila ipo haja ya kuliangalia hilo kwa jicho la tatu
 

muulize rais wetu kwanza
 
kweli wakuu kunahaja ya kutafakari juu ya ukimya huu wa waalimu,kamaserikari haitachukua hatua sasa,kunauwezekano wa taifa kuoza.
 
Ajiuzulu? ana wazimu? kwanza kwalipi hadi ajiuzuru. ndg yangu Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, wewe kama mwanao kafeli anza kufikiria utamsaidiaje

Tunashukuru ndugu kwa taarifa nzuri ya kiuchambuzi. Kiukweli kama kweli Waziri Kawambwa ameguswa na Matokeo hayo basi hana budi kujiuzuru.
 
hello wana JF,
nani wa kulaumiwa kati ya serikali, walimu au wanafunzi maaana haiwezekani kufeli kwa namna hii ambayo ni zaidi ya 60% sasa wana jf nini tufanye kwa hili? maada hii mezani kwenu nasubiiri maoni
 
Inamaana in 3 years come kama watakaoingia A-level ni 23000 tu.....wakipigwa mchujo wa form six watabaki tuseme 5000, It means vyuo vyetu vitakosa wanafunzi wa kudahiri ifikapo mwaka 2015!....., which means mwaka 2018 hakutakuwa na wataalamu watako hitimu chuo kikuu.....
just thnking,"
 
Digital world inaharibu watoto,,, chezea vingamuzi, facebook, twitter, watsup, myspace, playstation 3, xbox, wii, uefa champions league, tamthilia za philiphines,, ze comedy,, matokeo yasishuke mchezo

The issue of digital world has nothing do with failure of our students.. Ishu iliopo saiv ni kwamba wazazi wenyewe wameshindwa kuwalea watoto wao.. Mbona sisi tulizaliwa kwenye familia zenye kila kitu nimecheza na computer since nikiwa mdogo lakin tulifaulu vizuri tuu.. Hata kama ni issue ya digital world basi wasingefeli 60%. siamini kama hao wote walifelishwa na digital world. Kwa asilimia kubwa ule mgomo wa walimu ulichangia, halafu pia mitaala ya kufundishia nayo ilichangia.. Juz bungen waziri anaulizwa ishu ya mitaala anang'aa sharubu. Unategemea nn? This is crazy
 
Hizi ndo impacts za kuwadharau waalimu.. Matokeo ya mgomo wa waalimu ndo haya..
Yes 12+12=1212 halafu mwalimu huyohuyo ndo unamchukua kwenda kumark mitihan
 
Kwa mtazamo wangu kama ni kweli waliopata div 1 hadi 3 ni elfu 23 tuu, hii ina maana kuwa form 6 wataofauli watakuwa chini ya elfu 20 na hapo serikali itakuwa na uwezo wa kuwapa mkopo wa asilimia 100 kwa wote, na tutaambiwa tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Haya matokeo ni maalum kwa kuombea kura 20
15 kwa kutumia kuwapa mkopo watoto wote waliopata vyuo. Nasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…