Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

kazi ipo! hawapeleki watoto mwao shule za kata! ila watoto wa wenzao ndio wamewajaza huko, rubbish!

Technically, Division IV wanaangukia kwenye kundi la walio feli. Na ukijumlisha Division IV na wale wa Zero, unapata 93% ya wanafunzi waliofanya mtihani wamefeli. 93% failure! Heads must roll!

Tusubilie maandamano tena ya waslimu kwa ndalichako, kwani 20 bora hakuna shule yao kabisa..... lakin sijui kwani wanaandamana wakat shule zao wanafundishwa sana elimu ya dini kuliko masomo mengne wanategemea waongoze yani waganafurahisha sanaaaaaaaaaaaaaa....

~ Utawasikia mfumo kirstu
~ Wamefaulu wakirstu na shule zao wakati hamis na asha usoma hapo
~ Anaeongoza baraza ni mkirstu wakat watendaj weng ni wasilamu
~ Wamesaisha vibaya somo la uisilmu wakati wataalum hawana plus mitaala wakulifundisha somo hili lakin wataalamu wanojua uislam wapo weng na ndio ufundisha

Yani nchi yangu tamu sana, hongelen shule 20 bora endele kuweka misingi bora ya elimu musijibizane nao.....

Na tabasamu analipataje?
Kuna watu nawatamani sana jinsi wanavyochukulia mambo.

Tulichagua wenyewe kwa kupewa doti hivyo tusilalamike sana, tuvumilie imebaki miaka miwili tu tutapata fursa nyingine... tukiichezeya na hiyo basi tumelaaniwa
 
Magamba walimwaga mboga mapema sana,sasa walimu nao wameamua kumwaga ugali,sasa tuone nani atashinda,hivi hakuna taarifa za kiintelijensia kuhusu kufeli huku?au CDM hawapo?
 
  • Thanks
Reactions: awp
waalimu walishasema wakati wa migomo yao, hamkuwaelewa?tutegemee mabaya zaidi kama madai ya waalimu hayatazingatiwa. Mimi ni mwalimu tunajua tunachofanya!

yes you know what to do 1+3 = 13 excellent!
 
Kwa hali mbaya ya matokeo ya kidato cha nne, naweza sema yamechangiwa sana na uhaba wa walimu pamoja na maslai duni yaliyowapeleka walimu katika migomo baridi..ni muda wa serikali sasa kupima na kuona jinsi ya kuokoa kizazi kilichobakia..hali si nzur
Huu ni uzembe tu kuna wafanyakazi wangapi wanalipwa mishahara midogo kama majeshi yetu lakini hawagomi na hawalalamiki swala ni uzembe tu na wakaguzi wanakaa tu offisini wakila hela za ukaguzi wangapi tunashudia mshahara wanalipwa mdogo lakini watimiza kazi zao huuu ni uzembe tu wa kufundisha tu unaochangiwa na uongozi mbovu
 
Una uhakika mie nilichagua??

Tena usiniumize moyo bure

Tulichagua wenyewe kwa kupewa doti hivyo tusilalamike sana, tuvumilie imebaki miaka miwili tu tutapata fursa nyingine... tukiichezeya na hiyo basi tumelaaniwa
 
Digital world inaharibu watoto,,, chezea vingamuzi, facebook, twitter, watsup, myspace, playstation 3, xbox, wii, uefa champions league, tamthilia za philiphines,, ze comedy,, matokeo yasishuke mchezo
 
Tusubilie maandamano tena ya waslimu kwa ndalichako, kwani 20 bora hakuna shule yao kabisa..... lakin sijui kwani wanaandamana wakat shule zao wanafundishwa sana elimu ya dini kuliko masomo mengne wanategemea waongoze yani waganafurahisha sanaaaaaaaaaaaaaa....

~ Utawasikia mfumo kirstu
~ Wamefaulu wakirstu na shule zao wakati hamis na asha usoma hapo
~ Anaeongoza baraza ni mkirstu wakat watendaj weng ni wasilamu
~ Wamesaisha vibaya somo la uisilmu wakati wataalum hawana plus mitaala wakulifundisha somo hili lakin wataalamu wanojua uislam wapo weng na ndio ufundisha

Yani nchi yangu tamu sana, hongelen shule 20 bora endele kuweka misingi bora ya elimu musijibizane nao.....

We Utakuwa una matatizo ya AKILI, haya matokeo kwa ujumla sio mazuri, hivi unaweza kushangilia kwa kuwa na 7% ndio wenye div 1-3? hawa wengine 93% unawaweka wapi?
 
Jumla

[TD="class: xl67"]Division
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 65"]F
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 70"]M
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 67"]Totals
[/TD]
[TD="class: xl68, width: 6"][/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]F
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]M
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]Totals
[/TD]

[TD="class: xl64"]Div I
[/TD]
[TD="class: xl65"]568
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,073
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,641
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]0.2%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.3%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.4%
[/TD]

[TD="class: xl64"]Div II
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,997
[/TD]
[TD="class: xl65"]4,456
[/TD]
[TD="class: xl65"]6,453
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]0.5%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]1.2%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]1.8%
[/TD]

[TD="class: xl64"]Div III
[/TD]
[TD="class: xl65"]4,613
[/TD]
[TD="class: xl65"]10,813
[/TD]
[TD="class: xl65"]15,426
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]1.3%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]2.9%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]4.2%
[/TD]

[TD="class: xl64"]Div IV
[/TD]
[TD="class: xl65"]38,983
[/TD]
[TD="class: xl65"]64,344
[/TD]
[TD="class: xl65"]103,327
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]10.6%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]17.5%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]28.1%
[/TD]

[TD="class: xl64"]Div Zero
[/TD]
[TD="class: xl65"]120,239
[/TD]
[TD="class: xl65"]120,664
[/TD]
[TD="class: xl65"]240,903
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]32.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]32.8%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]65.5%
[/TD]

[TD="class: xl70"]166,400
[/TD]
[TD="class: xl70"]201,350
[/TD]
[TD="class: xl70"]367,750
[/TD]

[TD="class: xl69, align: right"]45%
[/TD]
[TD="class: xl69, align: right"]55%
[/TD]
[TD="class: xl69, align: right"]100%
[/TD]

[TD="class: xl63"][/TD]
[TD="class: xl63"][/TD]
[TD="class: xl63"][/TD]

[TD="class: xl64"]Waliofanya
[/TD]
[TD="class: xl65"]166,400
[/TD]
[TD="class: xl65"]201,350
[/TD]
[TD="class: xl65"]367,750
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]42.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]51.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]94.4%
[/TD]

[TD="class: xl64"]Hawakufanya
[/TD]
[TD="class: xl65"]14,090
[/TD]
[TD="class: xl65"]7,730
[/TD]
[TD="class: xl65"]21,820
[/TD]

[TD="class: xl66, align: right"]3.6%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]2.0%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]5.6%
[/TD]

[TD="class: xl70"]180,490
[/TD]
[TD="class: xl70"]209,080
[/TD]
[TD="class: xl70"]389,570
[/TD]

[TD="class: xl71, align: right"]46.3%
[/TD]
[TD="class: xl71, align: right"]53.7%
[/TD]
[TD="class: xl71, align: right"]100.0%
[/TD]

MODs, mmengeiweka hii table top ili isaidie kuongoza mjadala.
 
Kwa hali mbaya ya matokeo ya kidato cha nne, naweza sema yamechangiwa sana na uhaba wa walimu pamoja na maslai duni yaliyowapeleka walimu katika migomo baridi..ni muda wa serikali sasa kupima na kuona jinsi ya kuokoa kizazi kilichobakia..hali si nzur

Wote tunatambua kuwa kumekuwepo na mgomo baridi wa walimu kwa muda mrefu sasa lakini wenye mamlaka wanazidi kupuuza kilio chao. Cha kushangaza ni kuwa na sisi wananchi bado tunazidi kuwarudisha madarakani kana kwamba tumeridhishwa na Utendaji wao!

Mbaya zaidi vijana hawa waliopata division four, ambao kimsingi nao wamefeli ndio watakaoishia kwenye vyuo vyetu vya UALIMU. (this is pathetic!). Sasa unategemea vijana wetu watajifunza nini kutoka kwao? Tunahitaji kuubadilisha Mfumo wetu wa elimu
 
Back
Top Bottom