Uhalisia wa taifa la Israeli


ok wapi nilipo potosha ?
 
Jamani tofautisheni dark na black..... Waisraeli walikuwa dark people,,, somewhere between whites and blacks napia walikuwa na nywele, mfano jinsi waethiopia walivyo....
Africans are people of varied color shades ranging from very black to red. What you call dark is just a color shade. The truth is, even Christianity originated from Africa and not Europe. All the great people of the bible were Proto Africans.
 
Africans are people of varied color shades ranging from very black to red. What you call dark is just a color shade. The truth is, even Christianity originated from Africa and not Europe. All the great people of the bible were Proto Africans.
And them red indians
 


Wamisri ndio ni weusi asili yao ni Nubia na eneo la kusini ya Misri ya leo na Kaskazini ya Sudan. Ramses, Cleopatra, Nefertiti wote waliotawala karne hizo walikuwa watu wasio weupe. Wamisri weupe ni baada ya Cleopatra kuolewa na Kaisari kutoka Himaya ya Kiyunani ndipo walipoanza kuchanganya damu na Warumi na baada ya kuanza kuingia ukristo dhehebu la WaKopti ambayo ndio jina la Egypt lilikotoka jina ambalo limetoholewa kutoka lugha ya wagiriki "Aigýptos" na lugha yao ya kale ya wakorinto Hut-ka-Ptah (Nyumba au Roho ya Ptah) Nubia pia ndio eneo linalojulikana kama Kush na ndio chimbuko la wahamiajiWakush (Watu weusi - The so called Bantus) kutoka Milima ya Kush ya Persipolis (Shiraz ya leo iliyoko katika jimbo la Arabstan Iran) jimbo ambalo ndio makao makuu ya utwala wa Persian Emperors, Xerxes, Darius na Cyrus.

Wamissionary wa Kimarekani wamejitahidi sana kubadilisha historia ya kweli kwa ajili ya kusaidia watawala wao wa Ulaya ambao wengi walijuwa wakitafuta utajiri ili wajenge majeshi yao kuendeleza vita vilokuwa havishi Europe



Wamisri ndio ni weusi asili yao ni Nubia na eneo
Wamisri ndio ni weusi asili yao ni Nubia na eneo

Sent from my HTC Desire 820s dual sim using JamiiForums mobile app
 
Mkuu walikuwa ni Negro hao Wamisri sasa jaribu kuwatafuta Negro walikuwa na rangi utapata jibu.
 
ok wapi nilipo potosha ?
Hujui, ikiwa unasema wana wa Israel hawapo wakati sote tunajua wapo na sasa wanaendelea kurudisha mipaka yao ambayo Ibrahimu alipewa na Bwana Mungu,na pia wao waliambiwa ni taa yetu sote Wakristo so wapo sio kwaajiri yao pia kwaajiri ya ulimwengu.
 
Hujui, ikiwa unasema wana wa Israel hawapo wakati sote tunajua wapo na sasa wanaendelea kurudisha mipaka yao ambayo Ibrahimu alipewa na Bwana Mungu,na pia wao waliambiwa ni taa yetu sote Wakristo so wapo sio kwaajiri yao pia kwaajiri ya ulimwengu.

Nani alikwambia waliorudi pale ni waisrael? Walitawanyishwa mwaka 70 AD, au miaka 40 baada Yesu kupaa imepita karibia miaka 2000,1948 watu wamerudi pale wanasema wao ni wana wa israel mimi katika thread yangu nimeelezea kwa mifano ya Biblia na vifungu kuwa wale walio rudi pale sio wana wa israel sababu biblia haijasema kuwa watarudi sasahv sasa wewe unasema wale ndio wana wa israel wamerudi tetea hoja yako basi kwa vifungu, nikosoe kwa maandiko sio vitisho[emoji1][emoji1],yaani maneno yako ni matupu hayajabebwa hata na andiko moja! Nilitegemea ungekuwa clitical thinker ungeweka points zako hapa badara yake unasema from knowhere "sote tunajua wana wa israel wapo" !
Usisome biblia kama Gazeti
 

Shukran kwa maelezo ila nazidi kuchanganyikiwa.

Wasioamini mungu na dini sometimes arguments zao zina nguvu sana.
 
kwanini nyakati ambazo mwanga umeanza kuonekana kuna kundi kubwa la watu wanang'ang'ania gizani! nyakati ambazo
kuna kila aina ya vyanzo vya kupata taarifa zilizokuwa zimefichwa kwa muda mrefu, ambazo zilifahamika kwa wachache tu!
wengi tulikuwa wahanga wa propaganda, conspiracy theories, forbiden histories/truth n.k. ila kwa sasa watu mbalimbali wanazidi kufichua yale yaliyokuwa gizani. kama si mfuatiliaji wa mambo utapingana na kila kitu kinachoibuliwa, utaendelea kuamini nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe. wengi watakubali (wadadisi) mambo mengi wameyafahamu nje ya elimu ya darasani, maana mengi hayapo kwenye mitaala yetu ama yameguswa juu juu tu. kwa maana hiyo basi, sio kila uzi unaweza kusoma na kukomenti chini ya dakika 5, kuna post zinahitaji utulivu wa kutosha, haina maana kukubali au kukataa kila uzi la hasha! labda pengine kwa wale wajuzi wa mambo.
ukweli utabaki pale pale, mengi ya mambo tunayodhani tunayafahamu, kuona yamepotoshwa, iwe siasa, dini, historia nk.
kujua ukweli kuna mambo yanaghalimu muda na yanachangamoto zake, mf; wapo wanaokubali binadamu alikuwa nyani, dunia ni tambalale nk.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…