Uhalisia wa taifa la Israeli


Wana watakatifu wa Israeli, hawakuwa Mayahudi. Tofautisha Kizazi cha Jakubu na Mayahudi. Ni vitu viwili tofauti.
 
Ni kweli kwamba wamisiri asilia walikuwa weusi kabla ya kuja kikazi cha waarabu...angalia mafarao wa misiri utajifunza kitu

Ndio walikuwa Waafrika. Kwanini tuseme kuja Kwa Waarabu? Maana Waarabu walikuwepo. Kwanini tusiseme kuja Kwa Wazungu ie Waroma, Kruseda etc?
 
Mwanzo 20:13-17
Haina amri za mungu
Asante kaka. Kwa hiyo hao akina JAY Z ndio anaosema ni masikini na ni watumwa... Ni watumwa wa nani?
 
Dah mpaka kusoma ni kama mateso vile yaani umeandika pumba tupu ingekuwa ni paper ya chuo kikuu ungepata D -
acha uvivu...
 
bora waafrika turudi kwenye imani zetu za kuabudu mizimu....maana weupe wameturisha matango pori mchanganyiko ya kiimani kiasi tumelewa.....mpaka asili yetu ya kuabudu..... tunaona dhambi....!!!....mbaya zaidi mpaka wenyewe kwa wenyewe hatuelewani.... wakati mapindi yale kabla hawajaja na matango pori yao ya kiimank tulikuwa tunakusanyika pamoja wote na kwenda milimani na kuabudu...na maisha yaliendelea tuu....... sasa leo tunaamini ktk weupe tuuu.....!!.
 
[emoji1] [emoji1] .nicheke kdg..!!..hapo ni sawa na kusema huwezi kuwahukumu shoga's wala kuwakemea.. kwani wewe nani..??..wakati tendo hilo limelaaniwa kabisa kwa ushahidi wa maandiko ya vitabu vya dini....

umerudi kwenye mstari kuhusu mtoa mada na hoja yake kuhusu tarmud...
 
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] .....ngoja kwanza...maana....najihisi kama nataka kudumbukia chini ya uvungu wa kitanda...[emoji32] ...kwa jinsi ya ubishani wa hoja....
maana geji ya uelewa unakwenda mpaka 100%......juu ya mada....halafu mtu mwingine anakuja na hoja ambayo inanirudisha mpaka 00%....

ngoja michango iongezeke kwanza.....mpaka nijue mwisho wake...

NB:mijadala inayogusa imani huwa haifikagi tamati ya kukubaliana .....
 
Ngoja nitafute Andiko kwenye agano jipya YESU aliwaambia kwa kuwa mmenikataa na kulitupa agano basi Ufalme umeondolewa kwenu na watapewa wengine.
Na ukisoma kwenye quran takatifu kuna aya inamtaja urusi kupewa huo ufalme

Kwa mfano tu. Tangu niijue urusi sijawahi kusikia tabia ya kijinga ikianzia kule kama ushoga usagaji ubabe uonevu hawaoneagi hawa jamaa huwatetea wenye haki kama assad na wale raia wa ukraine. Yawezekana ikawa kweli maana nilisikia sheikh akihubiri haya ndio maana palestina hachoki kupigana nao anaamini ipo siku maana hata rahis wa misri aliwahi kusema sitaelewana na waisrael maana walitoka misri wakiwa weusi wamefika israel wakiwa weusi.
Nawasilisha.
 
Hii ndo shida ya kuvuta mibange mida km hii....
Hata sisi wanyiramba baba tunaita Tata na tuna tabia zote za mtu wa kwanza kuna kipindi nilihisi mungu aliumba mnyiramba maana leo hii mnyiramba akikosea ukimuuliza haombi msamaha anatoa sababu ili aombe msamaha ni lazima umuandalie mazingira ya kukuomba msamaha.
 
Hujui, ikiwa unasema wana wa Israel hawapo wakati sote tunajua wapo na sasa wanaendelea kurudisha mipaka yao ambayo Ibrahimu alipewa na Bwana Mungu,na pia wao waliambiwa ni taa yetu sote Wakristo so wapo sio kwaajiri yao pia kwaajiri ya ulimwengu.
We chizi nini??? Yaana wanavoua watu hivi wawe taa ya mkristo??
Mkristo hana ubabe huo mi siwezi kuiga hizo tabia yaan mkristo ajenge ngome ya mashoga nimuige???? Shit. Biblia ndio taa ya mkristo na imesema akupigae shavu la kwanza mgeuzie na la pili.
Sasa hao waisrael ni taa ya wapi sijui
 
Hongera Kwa uzi nzuri uliokuwa na fact nyingi sana, ni vigumu Sana Kwa baadhi ya watu kukubali hoji hii, kuna watu kwenye makanisa Yao kuna bendera ya Israel mpaka kwenye magari Yao ni vigumu kuwabadilisha hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…