Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi unajuwa chanzo cha mujahedeen ni Urusi kuivamia Afghanstan? Je unajuwa kwamba first mission ya Osama bin Laden ni Afghanistan alikwenda kujiunga na mujaheeden kupambana na majeshj ya uvamizi ya warusi?Na ukisoma kwenye quran takatifu kuna aya inamtaja urusi kupewa huo ufalme
Kwa mfano tu. Tangu niijue urusi sijawahi kusikia tabia ya kijinga ikianzia kule kama ushoga usagaji ubabe uonevu hawaoneagi hawa jamaa huwatetea wenye haki kama assad na wale raia wa ukraine. Yawezekana ikawa kweli maana nilisikia sheikh akihubiri haya ndio maana palestina hachoki kupigana nao anaamini ipo siku maana hata rahis wa misri aliwahi kusema sitaelewana na waisrael maana walitoka misri wakiwa weusi wamefika israel wakiwa weusi.
Nawasilisha.
Kwa lugha nyingine kama si Urusi kuivamia Afghanistan huenda basi hata Al qaeda isingeanzishwa na Osama asingekuwa gaidi.
Dini yako inakusisitiza iqraa-soma.