Uhalisia wa taifa la Israeli

Sasa inakuaje kosa la babu yangu liniathiri mimi??
Wayahudi waliomkataa Yesu ni wa miaka hiyo mingi sana iliyopita.

How comes kijana wa 2000 akaathirika na maamuzi ya hao watu ambao yeye hakuhusika nayo??
 
Katika biblia ya ethiopia inaelezwa malkia wa sheba alienda jerusalem kuchota hekima za mfalme suleiman habari ambazo hata biblia ya wakristo imeziandika .kitu ambacho wengi hawakijui huyu malkia wa sheba(black woman) na mfalme suleiman walijaliwa kupata mtoto alieitwa Menelik ambae aliondoka na malkia kurudi ethiopia na alifanikiwa kua mfalme wa ethiopia ..Kwa hio ethiopia ina mabaki ya watoto wa mfalme suleiman ambao ni waisrael , watu weusi kabisa

Na zaidi ya yote waethiopia hawakutawaliwa na wakoloni , maana yake koo zao hazikuvurugwa sana na wakoloni kama mataifa mengine , kwa hio wana uwezo wa trace back historia yao mpaka kwa babu yao king solomon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…