Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

Sasa inakuaje kosa la babu yangu liniathiri mimi??
Wayahudi waliomkataa Yesu ni wa miaka hiyo mingi sana iliyopita.

How comes kijana wa 2000 akaathirika na maamuzi ya hao watu ambao yeye hakuhusika nayo??
 
Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
kuhusu weusi,ukifuata history itakwambia kuna kipindi Cush empire ilijipanua mpaka misri hadi caanan,
wacush ni weusi,that is why,damu zikaingiliana.
Kuhusu huwezi faidika na kitu ukiwaunga mkono wapalestina,kwani kwa hawa wazungu wa israel unafaidika nini mkuu?,
netanyau kaja africa juzi hajaacha hata kitu cha kuonyesha atawafaidisha nini.
Heri wapalestina kipindi cha mapambano ya makaburu walikuwa na mchango wa katika mapambano.
Ukiona wayahudi wanakuletea msaada ujue kuna interest zao hapo zimejificha.

Kama sikosei kwa mjibu wa bible alieambiwa ,atakaekulaani nami nitamlaani,ni Abraham.
Abraham ni baba wa mataifa mengi sio israel pekee,
abrahamu hakuwa myahudi,

wayahudi ni watu cunning,wakayageuza maandiko,na kuiba baraka za Mungu kwa abrahamu ili ionekane wao ndo walibarikiwa.
Yaani kama yakobo alivyomtapeli babake isaka na kupora baraka za Esau,wana wa jacobo,yaani waisrael wakajiporea baraka zoooote za Mungu kwa abrahamu ziwe zao pekee,
wakayaspin maandiko na kujianzishia mungu wa taifa lao pekee,Hao ndio wayahudi wamejaa hila kuliko binadamu yeyote.
Wanatukuza kipande cha ardhi kuliko wanavyomtukuza mungu,kwasababu mungu wao anahusianishwa na mambo ya ardhi
Katika biblia ya ethiopia inaelezwa malkia wa sheba alienda jerusalem kuchota hekima za mfalme suleiman habari ambazo hata biblia ya wakristo imeziandika .kitu ambacho wengi hawakijui huyu malkia wa sheba(black woman) na mfalme suleiman walijaliwa kupata mtoto alieitwa Menelik ambae aliondoka na malkia kurudi ethiopia na alifanikiwa kua mfalme wa ethiopia ..Kwa hio ethiopia ina mabaki ya watoto wa mfalme suleiman ambao ni waisrael , watu weusi kabisa

Na zaidi ya yote waethiopia hawakutawaliwa na wakoloni , maana yake koo zao hazikuvurugwa sana na wakoloni kama mataifa mengine , kwa hio wana uwezo wa trace back historia yao mpaka kwa babu yao king solomon
 
Back
Top Bottom