Hebrews and Jews..Are these people different?
Yes. Hebrews ni jumuisho ya watu waliokuwa utumwani Misri. Ijapokua majority ya Hebrews walikua Israelis. Ukisoma history. Hebrew slaves ilikua ni multi race . ukisoma bible utajua hakuna mstari Israelite wanajitaja wao ni Hebrew Bali wamekuwa wakiitwa hivyo na watu wengine.
Ukirudi kwenye hoja za mtoa mada unajifunza ya kwamba hajui Historia ya Jews hasa baada ya Roman empire.
Mtoa maada anaandika ya kwamba Jews Wa Ethiopia ndiyo anaamini ni Jews kamili. Sababu yake kuu ni uzao wa Solomon. Lakini hataki kujiuliza ilipita miaka mingapi kati ya kipindi cha Solomon na hadi kipindi ya Yesu.
Kwa kumsaidia wengine wa Sephared Jew ni matokeo ya Jews kwenda utumwani enzi za Babylon ya Nebkadnezel. Hasa makundi ya Iraq Jews, Kurd Jews, India Jews Iran Jews na Syria Jews. Hawa hawakuawa Israel hata kipindi cha Yesu na Roman empire. Hawa wamekaa nje ya Israel kwa zaidi ya karne 20 na wametunza Judaism na utamaduni wa kiyahudi kwa maelfu ya miaka. Na Historian yao iko recorded and clear.
Ashkenazi. Hawa ni Jews walioenda mataifa ya ulaya hasa Ujerumani, minor Asia na Eastern Europe. Wanaitwa ASHKENAZ kwa maana Kiblia means wa Japhet aliitwa Ashkenazi. Na inaaminika wazungu ni wana wa Japhet basi wayahudi walikoa maeneo yaliokaliwa na wana wa Ashkenazi na wao wanatambuliwa kama Ashkenazi Jew. Yaani wayahudi wa kwa Ashkenazi.
Hii ni kawaida kabisa hata Africa ipo mfano Watutsi walioenda ukimbizini Kongo na kukaa maenelo ya Mulenge wanaitwa Bhanyamulenge.
Kuhusu DNA.
Nachojua kizazi kikiachana kwa miaka 2000 jumlisha intermarriage na chakula tofauti, basi DNA hutofautiana kwa kiasi kikubwa.
Kilichofanya Ashkenazi jew kuwa weupe zaidi ndicho hicho kilichofanya wazungu kuwa weupe pia. Kumbuka miaka 2000 so mchezo.
Kuhusu sijui Igbo, blacks na Indians kuwa Jews.
Kwangu na uelewa wangu naamini A Jew can be black, coloured or white. Lakini lazima Historia iwe na mambo zifuatavyo...
1. Wawe wanarecord ya kuabudu katika Judaism zaidi ya miaka 3000. Natambua kuna Jew ni wapagan. Lakini kama jamii ya kijew hakuna jamii nzima haina element za Judaism.
2. Lugha yao lazima iwe na element za kiebrania.
3. Tamaduni za kiyahudi zionekane kama Sabbath
4. Majina yao yajipambanue na uebrania.
5. nk