Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna habari ya Israel ya Kiroho. Wala nn.Agano lipo pale pale kwa wana wa Abraham wa kiroho na kimwili isipokuwa lina masharti mkuu ndiomaana wana wa israel walipokuwa wanakiuka Mungu anawaacha waende utumwani na wakimrudia Mungu anakumbuka Agano anawarudisha ndiomaana kumbukumbu la torati 28 Yoote Mungu akawawekea masharti mbona ni rahisi kuelewa?! Shida yenu mnalazimisha kuamini tu kwamba wale jamaa walikuwa wanabarikiwa na kulindwa na Mungu hata wasifuate maagizo ya Mungu au wafuate sababu ya agano la Abraham ndiomaana walivyokuwa wakitenda dhambi Mungu alikuwa anawaambia wamelivunja agano lake Yoshua 7:11!
Hao wa 1948 walikusanywa na WAINGEREZA NA MAREKANI vipi hawa nao wamekuwa manabii wa kuwakusanya hawa jamaa!??Hakuna habari ya Israel ya Kiroho. Wala nn.
Kisudi la Mungu kulitumia taifa la Israel ni kuonyesha ukuu wake. Ukisema hakuna habari ya physical Israel maana yake Mungu ameshindwa mission yake.
Mkuu Nabii Daniel kaandika wazi kabisa kuwa Israel itaundwa upya. Na imeundwa toka kila kona ya dunia.
Hizo habari zako za fake Jew ulikoziokota watalaaniwa. Kabla ujahoji colours za Jews jibu kwa nn kuna rangi tofauti btwn Tanzania nenda Manyara Had I Mbeya Dar hadi Kigoma. Ukijijibu ni chanzo cha utofauti huo wa ranging nywere na maumbile hutapata shida na Jews.
Au Watanzania/African DNA na ngozi zetu zinafanana asilimia mia moja.
Men. unajua tangu waende utumwani Babylon hadi Leo ni zaidi ya ya miaka 2500. Unajua binadamu anaweza kubadilika kiasi gani vizazi vikitengana kwa miaka 25000.
umejitahidi kuelewa nilichoandika hongera,wakristo wa leo nikama makinda ya ndege chochote kikisogelea kiota nikuasama tu kupokea bila kuangalia wanapokea kutoka kwa nani,wakristo wa leo hawajui kujihoji kimaandiko lolote lile wanaloambiwa na wachungaji wao ndio wanashika hilo hilo bila ya kulipima kama lipo sawa au sio sawa, Mithali 14:15 inasema "Mjinga huamini kila neno bali mwenye busara huangalia sana aendavyo" wengi hawachunguzi wanachokiamini wamemeza kama lilivyokuja,Angalia huu Mfano nikikwambia katika amri kumi za Mungu Amri ya sita(6) ni ipi? wengi wanajua ni "USIZINI" sababu magazeti yanasema hivyo lakini si kweli amri ya sita ni "USIUE" soma mwanzo 20:13-17 Kuziona amri zoote 10,huo ni mfano mdogo tu namna wakristo tulivyo hhatusomi biblia tunaangalia mapokeoHao wa 1948 walikusanywa na WAINGEREZA NA MAREKANI vipi hawa nao wamekuwa manabii wa kuwakusanya hawa jamaa!??
Unajua kwanza hawa jamaa UN,USA na Uingereza kupitia mzayuni Rothschild walioanga kuwaweka UGANDA hawa wazayuni before hawajabadili mawazo na kuwapeleka hapo Jerusalem!?? Na kuwaita wayahudi.
Shetani alishushwa na nguvu zake zote he knows jinsi tulivyo manyumbu kusujudia Kila kitu cha pale Jerusalem that's y ameikrol kupitia hao wazayuni ili kutukamata kirahisi. Next thing u know akitokea Mtu pale mwenye nguvu za miujiza kutoka kati ya hao wazayuni shetani anajua kama tulivyokosa maarifa tutakimbizana kama manyumbu kwa huyu jamaa kisa tu katokea pale
Emma.Hao wa 1948 walikusanywa na WAINGEREZA NA MAREKANI vipi hawa nao wamekuwa manabii wa kuwakusanya hawa jamaa!??
Unajua kwanza hawa jamaa UN,USA na Uingereza kupitia mzayuni Rothschild walioanga kuwaweka UGANDA hawa wazayuni before hawajabadili mawazo na kuwapeleka hapo Jerusalem!?? Na kuwaita wayahudi.
Shetani alishushwa na nguvu zake zote he knows jinsi tulivyo manyumbu kusujudia Kila kitu cha pale Jerusalem that's y ameikrol kupitia hao wazayuni ili kutukamata kirahisi. Next thing u know akitokea Mtu pale mwenye nguvu za miujiza kutoka kati ya hao wazayuni shetani anajua kama tulivyokosa maarifa tutakimbizana kama manyumbu kwa huyu jamaa kisa tu katokea pale
Mwanzoni ulinilaumu at I najenga hoja bila vifungu vya biblia. Tena unalaumu ati wakiristo wanafuata bila kuhoji.umejitahidi kuelewa nilichoandika hongera,wakristo wa leo nikama makinda ya ndege chochote kikisogelea kiota nikuasama tu kupokea bila kuangalia wanapokea kutoka kwa nani,wakristo wa leo hawajui kujihoji kimaandiko lolote lile wanaloambiwa na wachungaji wao ndio wanashika hilo hilo bila ya kulipima kama lipo sawa au sio sawa, Mithali 14:15 inasema "Mjinga huamini kila neno bali mwenye busara huangalia sana aendavyo" wengi hawachunguzi wanachokiamini wamemeza kama lilivyokuja
Hii thread imekufunua na kukuvua nguo, umebaki uchi yaani kwa maana rahisi "umejionesha wewe ni kilaza tena bure kabisa".
You deserve a Xmas gift. This is what we call "Beautiful Mind".
Tokea tuuingie hapa JF, kwa kipindi cha siku zote hizi, leo ndio tumepata the right dose. Umesafisha kutu kwenye nyuzi za fikra zetu.![]()
For sure BDS would love to invite you. ANC, MK veterans, Makanisa ya Afrika ya Kusini yatakuwekea zulia jekundu.
BDS SOUTH AFRICA
Hongera Mwanapinduzi
Anasema Mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri, angalia mstari mwingine anasema weusi wake ulisababishwa na kuunguzwa jua sababu 'alikuwa' mlinzi wa shamba LA mizabibu...lakini je ni kweli kuwa Suleiman mfalme amewahi kuwa mlinzi??? Kumbuka hicho kitabu cha Wimbo Ulio Bora ni mashairi, kwa maana kwamba kuna lugha za kishairi zimetumika humo!!!Na vip kuhusu Suleiman aliposema yeye ni mweusi!??
Au na yeye alikuwa na dhiki!?.
Yeah Ni kama ukimuahidi mwanao kuwa akipasi itamnunulia baiskeli then asipopasi basi no baiskeli
Ngoja nitafute Andiko kwenye agano jipya YESU aliwaambia kwa kuwa mmenikataa na kulitupa agano basi Ufalme umeondolewa kwenu na watapewa wengine.
We maku kweli we si mswahili safi kabisa kinachokufanya uandike kwa lugha ngeni ni nini wakati lugha ya taifa unaijua nini? Au ulimbukeni tuYou must be stupid to question, and sorry for you because God's promise shall be fulfilled and indeed it will for Israel is the watch of the world for the believers and you won't change even a single dot of the written law. And look at how insane you are you use the same bible to argue on this and I have a piece of information for you that God shall fulfil his promise to this small state before gentiles eyes as such as you but great and of great value before God's eyes.
Ile ni filamu tu kama Jumong!It sound so weird and sometimes interesting....Duuuuh kwa hiyo ile escape from sobido ni fake story ..??
Nimecheka sana nilipoona hii post yako,ndio nyie mnaoamini wayahudi wataingia mbinguni hata wakiwa na dhambi! ndio nyie mnao amini wayahudi wataingia mbinguni hata pasipo kumfuata Yesu kisa eti tu ni wateule wa Mungu!,Kwako sijaona utayari wako wa kujifunza zaidi ya ushabiki wa mapokeo uliyoaminishwa na ndio upo tayari kuyatetea hatakama yanapingana na maandiko ya Biblia,ningependa kukwambia soma upya nilichoposti pamoja na viambatanishi vyake kwenye biblia then prove me wrong with biblical facts sio hivyo vitisho ambavyo hata wewe mwenyewe huelewi maana yakeKama ningekuwa mchanga kiroho ningechukuliwa na upepo wa elimu yako hii potofu iliyo jaa uadui dhidi ya kweli ya Mungu,nakwambia wewe ndio unatafuta laana kwa kuwazulia yasiyowahusu masihi hawa wa Mungu,nashukuru umekiri kutambua baadhi ya mambo makuu ambayo Mungu amefanya kwenye hili taifa(Kumb 28) ikiwemo kuwawezesha kuwa vichwa duniani kumiliki vyombo vya habari,kuwa wabunifu ktk mambo mbalimbali kubwa zaidi kutikisa mataifa karibu sita kwenye the six day war mwaka 1948 ambapo Israel taifa changa ilishangaza dunia kwa kuyagalagaza mataifa yale makubwa nakwambia kama si Mungu wa mbinguni kuwasaidia isingewezekana,hata wewe ukitaka nenda kachokoze taifa hili unaloita fake uone cha mtema kuni,kawaulize waarabu wote wanaoizunguka Israel,ivi heshima na utisho iliyonao Israel duniani unafikiri ni bure think your self man,kataa kutumika na elimu ya dunia na theology utapata marafiki wengi wa duniani lakini kwa Mungu utapoteza shauri yako!