Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

Tena biblia haikuandika awalaaniye wayahudi naye atalaaniwa. Makabila 10 yaliyounda Israeli hayapo hapo Israeli ya sasa bali kuna Wazayuni/khazar waliojipachika uyahudi wa mchongo. Israeli ya kubarikiwa ni ile ya mkusanyiko wa makabila 12 ya uzazi wa yakobo sio hawa waandaji wa mpinga kristo
 
Tena biblia haikuandika awalaaniye wayahudi naye atalaaniwa. Makabila 10 yaliyounda Israeli hayapo hapo Israeli ya sasa bali kuna Wazayuni/khazar waliojipachika uyahudi wa mchongo. Israeli ya kubarikiwa ni ile ya mkusanyiko wa makabila 12 ya uzazi wa yakobo sio hawa waandaji wa mpinga kristo
kwakweli ipo siku ukweli dhidi ya hawa mashoga utamuingia kila mtu tutawachapa bakora aise warudi kwao huko birmingham,washington watuachie nchi yetu sisi waisrael halisi
 
Ndugu yangu MAKOSHNELI nimeusoma "uzi" wako mwanzo mpaka mwisho, nimecheka sana.
Well, somehow you have a point. Ni ukweli kwamba miongoni mwa zile Kabila 12 za Israeli kuna ambao ni weusi, hilo halina ubishi.
Na kingine ambacho hujakizungumzia ni kuhusu kabila mbili zilizotoka kwa Yusufu yaani watoto wawili wa Yusufu ambao ni Efraimu na Manase, hawa walikuja kuwa makabila mawili tofauti, soma MWANZO 48:8-20
Efraimu na Manase ni mataifa makubwa mawili yaliyopo duniani kwa sasa, Efraimu ni UK na Manase ni USA. Hiyo ni siri inayojulikana na wachache sana, lakini huo ndiyo ukweli ulivyo.

Nakubaliana na wewe kuhusu baadhi ya points zako, mfano, ni kweli kuwa wale waluopo pale Israeli sasa hivi siyo Wayahudi halisi, hiyo ni kweli, lakini siyo wote, baadhi yao ni Wayahudi halisi kabisa kutoka kwa uzao wa Yuda. Kumbuka imeandikwa kuwa Bwana atajibakizia mabaki wachache ambao hawatachukuliwa kwenda utumwani.

By the way, uzi wako umenifurahisha. Hata Yesu Kristo pia hakuwa "Mzungu" kama tulivyoaminishwa bali alikuwa ni mtu mwenye sura na muonekano usiovutia. Soma ISAYA 53:1-5
"Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? Maana alikuwa mbele zake kama mche mwororo, na kama mzizi katika nchi kavu, yeye hana umbo wala uzuri na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani. Alidharauliwa na kukataliwa na watu, mtu wa huzuni nyingi ajuaye sikitiko. Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, amejitwika huzuni zetu, lakini tulimdharau ya kuwa amepigwa, amepigwa na Mungu na kuteswa. Ball alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona".

Inawezekana kabisa moja ya sababu ya Wayahudi kumkataa YESU kuwa ni MESSIAH, ni kutokana na yeye kuwa mtu mweusi, mwenye sura isiyovutia na umbo lisilovutia. Wayahudi ni watu waliokuwa na tabia za kum-judge mtu kutokana na muonekano wake wa nje (superficiality). Rejea jinsi walivyomchagua Sauli kuwa Mfalme wao, kutokana na muonekano wake na wakamdharau Daudi kutokana na muinekano wake.
kabila mbili zinatoka kwa yusufu ni UK na USA,ila hawa USA ni muunganiko wa states 50+ hiyo imekaaje?
 
Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
NANI ALIBADILI NGUVU YA ULIMWENGU KWA RANGI NYEUPE?

Na: Joseph Mihangwa.

Tunaambiwa, mara ya mwisho kijana Yesu alionekana hekaluni akijadiliana na Mafarisayo na Masadukayo, Yerusalemu. Kuanzia hapo hakuonekana wala kusikika hadi miaka 18 baadaye alipotangazwa na Nabii Yohana [Mbatizaji] na kwa ubatizo uliofuatia, kabla kuanza kuhubiri Injili juu ya Ufalme wa Mungu; kifo, ufufuo na uzima wa milele. Alikuwa wapi; Misri au Ethiopia, kama hapo mwanzo?. Akifanya nini?. Je, alikwenda kujinoa juu ya dhana hiyo ambayo ilikuwa na mizizi, ibada na miundombinu maelfu ya miaka kabla ya kuingia Uyahudi?.

Hapana shaka kwamba dini ya Mussa, “Uyuda” [Judaism] na Ukristo, umechukua na kubakiza mengi kutoka Afrika ambayo hayakuwepo katika Jamii hizo kabla ya hapo. Mfano, ni imani juu ya Mungu mmoja, imani juu ya kifo na ufufuo na juu ya utatu mtakatifu na “siku ya hukumu” mbele ya kiti cha enzi [Soma kwa makini: “When Egypt Ruled the East” cha Profesa Steindorf; na “The Tempest and the Exodus” cha Ralf Ellis na pia Biblia takatifu, hasa Agano la Kale].

Sasa imeanza kudhihirika kwamba, Mwafrika alitawala dunia, kutoka Afrika hadi Yerusalemu, Uajemi, Amerika na India kabla ya kugeuziwa kibao na weupe hao. Jambo lililodhahiri leo ni kwamba, jamii zote za kale, kuanzia “Oldupai”, Misri, Yerusalemu, hadi Mesopotamia, ziliabudu mungu au miungu weusi, na kwamba “Ueusi” ulikuwa rangi ya kiungu na malaika, tofauti na leo ambapo tunaambiwa na kuaminishwa kinyume chake.

Mwafrika aliipiga na kuiteka Asia ya Kati yote na Palestina [Uyahudi] pia; nchi hizo zikawa zinalipa kodi na kutii mamlaka ya Mfalme “Pharao”. Ile vita kuu ya “Armagedon” ndiyo iliyozifanya nchi mateka wa Farao, na masaibu hayo ya kutawaliwa na Taifa la kigeni [gentiles] na matumaini ya kujikomboa kwa nguvu ya utaifa, yameelezewa vyema kimsahafu wa Kiebrania, Ufunuo 13: 1- 13; Isa 10:28-32].

Tunaweza kusema, kwamba juhudi za kabila la Kiebrania [Wayahudi] za kujitanua kisiasa na kiutamaduni baadaye zilikuwa za kidini [utamaduni] kwa kuongozwa na utaifa [Jewish nationalism] kwa nyumba [ukoo] ya “Israeli”. Tunaandika haya si kwa lengo la kukanusha uwepo wa Mungu muumba wa vyote, bali kwa lengo la kuimarisha hisia za uwepo wake na mpango wake wa makusudi kwa mwanadamu. Zaidi, ni kuhoji usahihi na namna Injili juu ya kumwelewa Mungu huyo, inavyowasilishwa kwetu kwa mzania wa upande mmoja wa historia ya mwanadamu; kwa kukweza [to glorify] zaidi utamaduni wa jamii moja dhidi ya jamii zingine kana kwamba Mungu ni mbaguzi kwa kuwaweka wanadamu na ubinadamu wao katika madaraja.

Hapo mwanzo, adui mkubwa pekee wa dini alikuwa “ukweli wa kisayansi” [facts of science] kwa kutoa changamoto juu ya mifumo na miundombinu ya kidini isiyo na majibu tosha juu ya maendeleo ya binadamu; lakini leo, ameongezeka adui mwingine ambaye ni “ukweli wa historia” [facts of history] ambayo lazima upate majibu juu ya maendeleo haya, kinyume chake “mkanda” wa kidini utazidi kulegea. Kinachokera zaidi ni juu ya namna Injili inavyowasilishwa kwetu, kwa kufuta ubao juu ya historia ya “uungu” kwa Mwafrika na mchango wake katika ustaarabu na maendeleo ya binadamu. Kero hii, isipopata jawabu sahihi, inaweza kuzaa kile kinachoweza kuitwa “Mgongano wa kitheolojia, kati ya ukale wa kimisahafu na uhalisia wa sasa” kutokana na tafiti, maendeleo ya sayansi na teknolojia. Na hili linazikabili zaidi dini kuu za mapokeo; Ukristo na Uislamu zenye chimbuko moja [lakini kwa nyakati tofauti] Uyuda [Judaism]; wote wana wa Abraham, au “Watu wa Kitabu” kwa maana “Agano la Kale”. Tofauti ya dini hizi mbili si juu ya Mungu anayeabudiwa kwa ibada; bali ni juu ya namna utamaduni wa Kiyuda na ibada zake, unavyowasilishwa kwa watu wengine wasio wa utamaduni huo [gentiles]; kutoka ukale wa misahafu [Agano la Kale] kwenda jamii [tamaduni] ambazo tangu kuumbwa kwa dunia, hazijashabihiana na utamaduni huo [Uyuda] wa kigeni.

Hiyo ni historia ya kale ya ustaarabu wa binadamu inayotaka kufunikwa kwa nguvu chini ya zulia la ubeberu na ubabe wa kiroho wa nchi za Magharibi kudhihirisha ubabe wao.

Lakini pamoja na historia hiyo ambayo utafiti wake huru unazidi kupata kasi zama hizi za sayansi na teknolojia, historia ya zama zetu na masalia yake inawasuta pia, kama tutakavyoona hivi punde.

Wataalam wa kwanza wa sayansi ya nyota na anga duniani [astronomers] walikuwa Waethiopia [Afrika]. Nao Wagiriki wa kale walijifunza elimu ya hesabu za maumbo [geometry] kutoka Ethiopia. Tena, tunafahamu sasa kwamba, Wamisri ndio waliobuni na kuanzisha kalenda ya mwaka wenye siku 365 inayotumika hivi leo ambapo mwaka ulianza mwezi wa uonekana angani kwa nyota “Sirus” iliyokwenda sambamba na kufurika kwa mto Nile. Mwaka ulikuwa na miezi 12 na siku ilikuwa na saa 24 zilizohesabiwa kwa saa ya maji [water clocks] na saa ya kivuli [sundial]. Mwanahistoria Fabre d’Olivet anatanabahi kwamba, hapo zama za kale, “Waafrika walitawala na kuongoza ulimwengu na dunia katika nyanja zote [sayansi, teknolojia, nguvu na uwezo], na walidhibiti Afrika na sehemu kubwa ya bara la Asia”.

Anafafanua kuwa, wakati Waafrika wakiongoza katika nyanja hizo, kabila la watu weupe lilikuwa lingali legelege, lisilo na ustaarabu kiwango cha kufananishwa na wanyama [savages]; hawakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri wala matumaini katika maisha. Kuhusu uvumbuzi wa nchi mpya [New lands], ni Waafrika waliovumbua Amerika na Visiwa vya “West Indies”, na si Mzungu Vespucci Amerigo [ambaye Amerika imetokana na jina lake], na Christopher Columbus, kama inavyoelezwa na Wanahistoria wa Kizungu.

Profesa Leo Weiner, katika kitabu chake kiitwacho “Afrika na Uvumbuzi wa Amerika” [Africa and the Discovery of America], anabainisha kuwa, Waafrika walizifikia nchi za Magharibi mapema kabla ya Wavumbuzi wa Kizungu, na huko waliendesha biashara na wenyeji wa nchi hizo kwa mafanikio makubwa. Anabainisha kuwa, Waafrika waliwahi kuifanya Amerika Koloni lao na kuitawala kama ambavyo tu Wazungu walivyokuja kutawala nchi zetu baadaye. Vivyo hivyo, “Wavumbuzi” wa Kihispania wanakiri, walipofika kwenye “nchi mpya” [Amerika na West Indies], walikuta makazi na himaya ya Kiafrika katika nchi hizo ambapo Makao Makuu ya Kudumu ya Himaya hiyo ya Waafrika, yalikuwa katika mji wa Darien, mwaka 1513. Naye mwanahistoria Harold G. Lawrence, katika kitabu chake kiitwacho, “Wavumbuzi wa Kiafrika wa Dunia mpya” [African Explorers of New World], anaeleza kuwa, alipofika katika visiwa vya “West Indies”, Christopher Columbus alifahamishwa na wenyeji wa visiwa hivyo juu ya uhusiano wa kibiashara uliokuwapo, kati yao na Waafrika. Lawrence ameandika ukweli huu kwa kutumia shajara [diaries] za Columbus za enzi hizo na ambazo zimehifadhiwa hadi leo.

Hizi si habari za kubuni au kubahatisha, bali ni historia sahihi kuhusu ukuu na ustaarabu wa Mwafrika dhidi ya, na kabla ya ustaarabu wa Mataifa mengine duniani. Si hayo tu, bali nafasi ya Mwafrika katika kuustaarabisha ulimwengu ilitambuliwa pia na Wafalme wengi miaka mingi kabla ya Kuzaliwa Kristo.

Alexander the Great, Mtawala na Jemadari Mkuu wa himaya ya Uyunani ya kale, alikuwa na Jenerali Kiongozi wa Jeshi Mwafrika katika jeshi lake, miaka ya 330 Kabla ya Kristo. Jenerali huyu aliitwa “Clitus the Black”. Vivyo hivyo, jeshi la Wayunani la enzi hizo liliongozwa na Majenerali na Ma- “Brigadier” wa Kiafrika. Na katika historia ya hivi karibuni [karne ya 18], Mwafrika aliyeitwa Abraham Hannibal, alikuwa Amiri Jeshi Mkuu [General-in-chief] wa Jeshi la Urusi chini ya Binti wa Mfalme [Empress] Elizabeth; na aliendelea kushika cheo hicho cha ukuu wa jeshi hadi utawala wa Mfalme “Peter the Great”. Kwa ushujaa wake, alitunukiwa nishani ya medali ya “The Red Ribbon of Order of Saint Alexander Newski”. Mmoja wa watoto wake aliongoza majeshi na kushinda vita kati ya Warusi na Waturuki huko Navarin, mwaka 1770. Mwafrika mwingine, Michael Egypteous, alikuwa Meja Jenerali katika Jeshi la “Peter the Great” ambaye, bila mipango, sayansi na mbinu zake za kisheshi, Jeshi la Urusi halikufanya kitu.

Kuhusu uongozi wa Kanisa, Mwafrika hakuwa nyuma. Kati ya mwaka 189 na 496 Baada ya Kristo [BK], Kanisa Katoliki, ambalo ndilo lilikuwa Kanisa pekee la Kikristo duniani enzi hizo, liliongozwa na Ma-papa [Popes] Waafrika. Hawa walikuwa ni Papa Victor, aliyeongoza ] kati ya mwaka 189 na 199; Papa Melchiades, 311 – 312; na Papa [Mtakatifu] Gelasious, mwaka 496. Katika kipindi kifupi cha utawala wake, Papa Gelarious anakumbukwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika utawala wa Kanisa. Alirekebisha kalenda ya Watakatifu baada ya kutafakari upya nafasi za Watakatifu kwa waumini na Kanisa; akaondoa katika orodha hiyo majina ya Watakarifu Magreth na George. Aliingiza badala yake katika Biblia Takatifu, vitabu vipya vya “Hekima [ya Mfalme Sulemani]”, Yudith, Makabayo, Tobit, na Mhubiri ambavyo havikutumiwa na Mapapa waliomtangulia. Alipiga marufuku sherehe za kipagani kuhusishwa na Kanisa [Soma: Book of the Popes: Liber Pontificulis].

Itaendelea wiki ijayo. The post Nani kabadili nguvu-dunia nyeusi kwa rangi nyeupe? appeared first on Gazeti la Rai.
 
Kuna vitu watu wanachanganya wanafikiri Israeli hawakosei Kama binadamu wengine pia wanazani makosa hayo yanafanya lisiwe taifa teule like taifa mpaka MUNGU aliapa kwa nafsi yake hivi unazan MUNGU nikama kigeu geu achague miaka yote hiyo alafu agairi 2024 makosa walio nayo hayamaanishi kua MUNGU amewaacha swali wewe hukosei msisitizo Taifa lolote litakalo mlaani Israel halitakaa lifanikiwe kamwe kwasababu imeandikwa kwamba kupitia uzao wa Ibrahim mataifa yote ya dunia watabarikiwa
 
Kuna vitu watu wanachanganya wanafikiri Israeli hawakosei Kama binadamu wengine pia wanazani makosa hayo yanafanya lisiwe taifa teule like taifa mpaka MUNGU aliapa kwa nafsi yake hivi unazan MUNGU nikama k

Wapi katika biblia imeandikwa ni taifa teule??
 
1718482041376.png

Hii Picha imenikumbusha kitu.
Bibi yangu siku za mwisho alikua hivi lakini mwanzo alikua Mweusi kabisa.
Kuliwai kuwa na fununu kuwa wao ukoo,na ukoo ni Wa-seba.
Inasemekana Queen Sheba au binti yake alitoroka huko Israel,akaibukia Ethiopia,nako kulizuka vita akatoroka tena na jeshi lake,
Katika zunguka zunguka wakaishia Morogoro.
Nako hali haikua nzuri alitoroka tena.
Katika pitapita akaishia Mwakaleli.
Inavyosemekana aliolewa na Chief kule.
Huyu Bibi yangu mzaa baba ni ukoo wa kichifu toka huko huko ila walienda kuanzisha mji mwingine na mumewe.
Ukoo wa Mwaseba naskia vinasaba ni story niliandika hapo juu.
Na nakumbuka sana mara ya mwisho hilo pozi aliloweka huyu mzee, bibi alikua saana anakaa hivyo.
Na wamefanana sana na huyu mzee.
Nimeandika ninachokijua.
Nafkiri nilisoma wikipedia na vyanzo vingine.
 
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Yupo sahihi kwa mujibu wa Biblia Misri ni mweusi kwasabu ndugu yake ni Kushi ambaye ni mweusi ndiye Ethiopia wa leo. Biblia mwanzo 10
6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
7 Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
 
Pongezi mkuu nimekuelewa kweli wewe ni great thinker.....swali je unafahamu kuwa asilimia kubwa ya wamisri ni waarabu au ndo waliletwa na uarabu kutoka Asia..??
Wamisri siyo Waarabu, Waarabu waliwekwa hapo ili waendane na kile maelite watakacho kiandika kulingana na history waitakayo, dola ya ottoman empire ilianzishwa ili kusawazisha mambo kama hayo ili pia kuweka balance kwenye mambo tuliyo nayo leo kama dini nk.
 
sijapoteza mda kusoma baada ya kutoa reference za biblia,
Reference za biblia zisikusumbue kibwetere wa Uganda Mackenzie wa Kenya na ata shetani uwa wanazitumia pia kwa lengo la kupotosha
 
Kusema Israel ni taifa la mungu ni uongo wa hali ya juu.
Tena wanaoshadadia hilo ni waafrika ambao wanajidai wameshika dini.
Wenye nchi yao (ambao ni waisrael) hawajui hilo.
Ajabu sana. Ni kweli ni taifa la Mungu lakini sio Hilo lenye bendera hapo mashariki. Ni dhana tu wala sio state kama viazi wengi wanavyodhani
 
Yes Hitler hakuua hao jamaa Ni kamba za wazungu just imagine wale waliopo pale wako sijui milioni 10 then wanasema Hitler aliua milioni 6 ya hawa jamaa. HV kweli angebaki hata mmoja. Hawa jamaa Ni sinagogi la shetani kama ilivyotamkwa na yohana kwenye ufunuo na watamleta masihi wao AnTi Christ na kwa jinsi watu wanavyoamini kila cha kinachotoka pale na SHETANI analijua hili that's why akawaweka wale pale ili siku akija ant crist anajua manyumbu wote mtamuamini na kumkubali kisa tu katokea pale ndio ataleta dini moja dunia nzima. AMKENI JAMANI MBONA MMEDUMAZA UBONGO HATA HAMFIKIRI
Kuna kitabu nimekipoteza Jina kinapinga kwa ushahidi mauaji ya wayahudi.... Kinatoa takwimu kinase a wayahudi waliofika German hawafiki hata mil. 2. Hao sita Hitler aliua walitaka wapi.... Ni fabricated story kujustify kupelekwa pale middle East
 
Yes. Hebrews ni jumuisho ya watu waliokuwa utumwani Misri. Ijapokua majority ya Hebrews walikua Israelis. Ukisoma history. Hebrew slaves ilikua ni multi race . ukisoma bible utajua hakuna mstari Israelite wanajitaja wao ni Hebrew Bali wamekuwa wakiitwa hivyo na watu wengine.

Ukirudi kwenye hoja za mtoa mada unajifunza ya kwamba hajui Historia ya Jews hasa baada ya Roman empire.

Mtoa maada anaandika ya kwamba Jews Wa Ethiopia ndiyo anaamini ni Jews kamili. Sababu yake kuu ni uzao wa Solomon. Lakini hataki kujiuliza ilipita miaka mingapi kati ya kipindi cha Solomon na hadi kipindi ya Yesu.

Kwa kumsaidia wengine wa Sephared Jew ni matokeo ya Jews kwenda utumwani enzi za Babylon ya Nebkadnezel. Hasa makundi ya Iraq Jews, Kurd Jews, India Jews Iran Jews na Syria Jews. Hawa hawakuawa Israel hata kipindi cha Yesu na Roman empire. Hawa wamekaa nje ya Israel kwa zaidi ya karne 20 na wametunza Judaism na utamaduni wa kiyahudi kwa maelfu ya miaka. Na Historian yao iko recorded and clear.

Ashkenazi. Hawa ni Jews walioenda mataifa ya ulaya hasa Ujerumani, minor Asia na Eastern Europe. Wanaitwa ASHKENAZ kwa maana Kiblia means wa Japhet aliitwa Ashkenazi. Na inaaminika wazungu ni wana wa Japhet basi wayahudi walikoa maeneo yaliokaliwa na wana wa Ashkenazi na wao wanatambuliwa kama Ashkenazi Jew. Yaani wayahudi wa kwa Ashkenazi.

Hii ni kawaida kabisa hata Africa ipo mfano Watutsi walioenda ukimbizini Kongo na kukaa maenelo ya Mulenge wanaitwa Bhanyamulenge.

Kuhusu DNA.

Nachojua kizazi kikiachana kwa miaka 2000 jumlisha intermarriage na chakula tofauti, basi DNA hutofautiana kwa kiasi kikubwa.

Kilichofanya Ashkenazi jew kuwa weupe zaidi ndicho hicho kilichofanya wazungu kuwa weupe pia. Kumbuka miaka 2000 so mchezo.

Kuhusu sijui Igbo, blacks na Indians kuwa Jews.

Kwangu na uelewa wangu naamini A Jew can be black, coloured or white. Lakini lazima Historia iwe na mambo zifuatavyo...

1. Wawe wanarecord ya kuabudu katika Judaism zaidi ya miaka 3000. Natambua kuna Jew ni wapagan. Lakini kama jamii ya kijew hakuna jamii nzima haina element za Judaism.

2. Lugha yao lazima iwe na element za kiebrania.
3. Tamaduni za kiyahudi zionekane kama Sabbath
4. Majina yao yajipambanue na uebrania.

5. nk
So according to you Wazungu wote ni bloodline ya Japhet hence Jews?
 
Emma.

Harakati ya Jews kurudi Israel iko very clear. Kwanza hawakurudishwa na UK au UN. Hadi England wanaondoka pale Palesitine hapakuwa na Taifa la Israel.

Jew walipigana na kujitangazia taifa kwa Damu.
Harakati na mission za kurudi wamezipanga tangu 1800's na center ya mipango ikiwa Russia.

UN hawakuta wakaweka mbadala waenda Uganda wao Jews wakakataa.


Cha msingi jua Jews community nje ya Israel zimekuwepo maelfu ya miaka.

Hadi kufika mwaka 1500 Jews ndiyo ilikua kabila pekee duniani ambako hakuna MTU asiyejua kusoma na kuandika. Naandika hill ujue namna walivyozingatia elimu.
Hapo unatupiga.. Hakuna asiyejua kuandika. Kwa ushahidi gani?
 
Back
Top Bottom