KERO Uhamiaji badilikeni, kuweni na huduma nzuri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Isack888

Member
Joined
May 16, 2024
Posts
27
Reaction score
43
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.

Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ?

Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria namna mnavyompokea kama muhalifu fulani 🙌 Lugha mbaya ,hakuna maelekezo Bali ni kukaripia tu...

Badilikeni...
 
Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ? Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria namna mnavyompokea kama muhalifu fulani 🙌 Lugha mbaya ,hakuna maelekezo Bali ni kukaripia tu... Badilikeni...
Wanawaza mambo yanaweza kugeuka wakaambiwa waajiriwa nao waende VETA kujinoa.
 
Mkuu ofisi zote za mamlaka ndio wako hivi.

Wanakera sanaa haswa ukikutana na mdada mweupe amevaa wigi
 
kuna vitu vinawasumbua akili zao na wengi hawana elimu ya kitu wanachofanya unaweza jishusha sana mwishowe ukajiona mjinga ila kwakua unahitaji huduma unakua mpole
 
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.

Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ? Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria namna mnavyompokea kama muhalifu fulani 🙌 Lugha mbaya ,hakuna maelekezo Bali ni kukaripia tu... Badilikeni...
Mm pia tatizo hilo lilinipata. Wanajifanya miungu watu
 
Mkuu ungempiga na kapicha afu unatupia humu ili tumpe ujumbe wake vzuri
 
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.

Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ?

Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria namna mnavyompokea kama muhalifu fulani 🙌 Lugha mbaya ,hakuna maelekezo Bali ni kukaripia tu...

Badilikeni...
Wameanza tena ? Kipindi Cha Magufuli waliacha hayo mambo
 
Back
Top Bottom