Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

Gari mali ya mwenyekiti wa ccm ilala
 
Nashauri wabadilishe waweke ya Chadema ili isiwe nongwa waseme ya Chadema chama ambacho si tawala.
 
Kuna taarifa inasambaa mitandano kutoka kwa Kamishina wa Uhamiaji mkoa wa Manyara alijulikana kwa jina Kyetema akidai yakuwa hakuna uhusiano kati ya Gari, Dereva na Bendera ya CCM ya mtumiwa wa kusafirisha waethopia 20.

Kyetema kwa nini unatema nyongo hisiyotemeka?

Hivi kwa gari hiyo ungekuta bendera ya chadema ingekuaje?

Aliyekamatwa ni kada mtiifu wa CCM na amekuwa akifanya biashara hiyo miaka mingi

Sema juzi kajifanya kujitia wazimu lakini hakuanza leo hata hiyo cruza ni zao la biashara hiyo.
 
Huyo kamishna naye asilete siasa uchwara hapo,yeye azungumzie yanayohusu uhamiaji hayo mengine awaachie CCM wenyewe na polisi. Mwenye gari ni kiongozi wa CCM na bendera ni ya CCM.
 
Nilijua tuuu, kamishna unadhani haipendi kazi yake?
 
Nimekaa nasubili utetezi wa kijana mzalendo namba Moja LUKAS sijaona akitetea chama
 
Ni ngumu kutenganisha V8 na Wizi....
Ni ngumu kutenganisha V8 na CCM....

Simple logic
Ni ngumu kutenganisha uhamiaji na sisiem na hivyo ni ngumu kutenganisha uhamiaji na wahamiaji haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…