Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu?

Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
 
Ndo maana napapenda USA maana sio Rahisi mtu atoke USA kuja Tz kufanya Biashara ya kamali aina ya kugusanisha na watu wa uswahilini
 
Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu?

Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
Uingereza waliwatupa masikini wake wote kule Australia, na wazawa weusi waitwao ‘Aborigines’ walichinjwa karibu wote, leo hii Australia ni kama mkoa wa UK hivi..., sasa na sisi Afrika ngoja tushangae shangae tu
 
Back
Top Bottom