Tango73 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2008 Posts 2,180 Reaction score 1,291 Jan 15, 2023 #1 Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 15, 2023 #2 Tango73 said: Hivi china ni nchi tajili au ubabaishaji tuu. kwa nini raia zake masikini watupwe africa? Click to expand... Wamekuja kuchezesha kamari.Wana macho fulani hivi yanayoona hadi kesho.
Tango73 said: Hivi china ni nchi tajili au ubabaishaji tuu. kwa nini raia zake masikini watupwe africa? Click to expand... Wamekuja kuchezesha kamari.Wana macho fulani hivi yanayoona hadi kesho.
Nzie ya Mana JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,515 Reaction score 1,730 Jan 15, 2023 #3 Moisemusajiografii said: Wamekuja kuchezesha kamari.Wana macho fulani hivi yanayoona hadi kesho. Click to expand... Hawana hata vibali. Tanzania ni ya hovyo Sana!
Moisemusajiografii said: Wamekuja kuchezesha kamari.Wana macho fulani hivi yanayoona hadi kesho. Click to expand... Hawana hata vibali. Tanzania ni ya hovyo Sana!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 15, 2023 #4 Ndo maana napapenda USA maana sio Rahisi mtu atoke USA kuja Tz kufanya Biashara ya kamali aina ya kugusanisha na watu wa uswahilini
Ndo maana napapenda USA maana sio Rahisi mtu atoke USA kuja Tz kufanya Biashara ya kamali aina ya kugusanisha na watu wa uswahilini
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jan 15, 2023 #5 Tango73 said: Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa? Click to expand... Uingereza waliwatupa masikini wake wote kule Australia, na wazawa weusi waitwao ‘Aborigines’ walichinjwa karibu wote, leo hii Australia ni kama mkoa wa UK hivi..., sasa na sisi Afrika ngoja tushangae shangae tu
Tango73 said: Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa? Click to expand... Uingereza waliwatupa masikini wake wote kule Australia, na wazawa weusi waitwao ‘Aborigines’ walichinjwa karibu wote, leo hii Australia ni kama mkoa wa UK hivi..., sasa na sisi Afrika ngoja tushangae shangae tu