Kuna kiongozi mkubwa wa jeshi la Tanzania alitorokea Rwanda baada ya kugundulika si raia. Kutenda kosa kwa muda mrefu bila kugundulika hakuhalalishi kosa.Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.
mambo haya wakati wa uchaguzi tu....Hata Generali Ulimwengu alifikia u- Dc , baadae ikagundulika hakua raia !
Kwa Zzk ajabu nini?
Kiongozi mkuu wa chama Mrundi hii hatari, mfano angegombea urais na kushinda tungekuwa na rais mwenye uraia wa utata, Mungu apishie mbali.Hiyo kama ni kweli basi ni kali. Yaani tuna chama cha siasa kina kiongozi wake mkuu sio raia wa nchi hii? Uhamiaji wafanye uchunguzi wa ukweli lijulikane hilo mapema bila kuonea mtu.
Inawezekana kabisa haka kajamaa ni ka kongoman, watanzania hatuna tabia za kujivuna kiasi hicho.Kabwe... Haya ni majina ya wacongo .
eti Taswira na Nuru ya chamaInawezekana kabisa haka kajamaa ni ka kongoman, watanzania hatuna tabia za kujivuna kiasi hicho.
Kabwe... Haya ni majina ya wacongo .
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.