Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....
Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...
Huenda ndo akawa mpinzani mkuu in future wameona hiloChama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!
Wamuache kwanza Kabwe ni baba wa mdogo wake Zitto. Wakichukua vipimo vya DNA Zitto atasalimika kama Kabwe muuza vitenge ni mcongo
Chama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!
Itakuwa kweli huyu jamaa sio raia,maana haiwezekani ukajiona Taswira na Nuru ya chama.haya ni mambo ya Kongo na Burundi
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.
wamasai asili yao Kenya???nyie endeleeni kuchunguzana uraia maana hata wamasai kiasili ni kutoka kenya
Si ajabu achunguzwe. Prof.Rwakabamba amezaliwa Muleba amekulia Kamachumu, kama Jenerali Ulimeengu alokulia Kamachumu Muleba, Kagera. Prof.Rwakabamba amefundisha UDSM Leo hii ni Waziri kwenye Serikali ya Kagame, Rwanda. Zitto achunguzwe.