A
Anonymous
Guest
Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online, tukiwapelekea wao wanasema mtandao hamna mbona form zao tunajaza bila shida, kwanini wao ofisini kwao?
Wanakwamisha shughuli zetu za kusafiri kwenda nje
Soma Pia: Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka
Hakuna mtandao kwenye mfumo wao wa ndani, kwa mfano mimi nimefanya kujaza form ya maombi ya passport online nikakamilisha nilipo ipeleka immigration nikaambiwa hakuna mtandao.